Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unai EmeryRoma haikujeng
wa overnight, iko kwenye transition, binafs namuelew
a e
Mery tumpe muda
wala sio tunavotaka ishu Wenger kasepa angalau now transition lazima iwepo so tutapambana sana na hali yetu,,,,tujitoe kwenye ubingwa...tujikaze tuchukue Uefa kama Man UTD chini ya Special one Jose F Mou...Kelele za kumtaka wenger aondoke zilitapakaa kila kona kutoka kwa mashabiki wa
Arsenal, natamani kujua baada ya Wenger kuondoka mnaionaje Arsenal? Imeanza
kuonesha dalili ya kuwa mnavyotaka?