Ikulu; bidhaa ya kibiashara Meza Kuu

Ikulu; bidhaa ya kibiashara Meza Kuu

inchaji

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2019
Posts
2,427
Reaction score
4,944
Wakuu.

Ukitizama vizuri hii picha ya Ikulu, ambayo naamini ilipigwa jana tarehe 18 May 2023, kuna bidhaa fulani ya biashara ya mtu binafsi inaonekana.

Je, hii ni sahihi kwa kiasi gani?
samia_suluhu_hassan-___3105492705814825171_2198310520___-.jpg
 
Mtoa mada noooo mkuu,unaweza kuandika na kuleta uzi bora kuliko huu, elewa hiyo ilikua function ya Azam, sasa tatizo lipo wapi ?,au ulitaka kwenye function hiyo waweke bidhaa za competitor's wao?,huwezi kwenda kwenye ghafla ya Pepsi huku unakunywa coke!
 
Wakuu.

Ukitizama vizuri hii picha ya Ikulu, ambayo naamini ilipigwa jana tarehe 18 May 2023, kuna bidhaa fulani ya biashara ya mtu binafsi inaonekana.

Je, hii ni sahihi kwa kiasi gani?View attachment 2627135
Ulitaka waweke bidhaa gani? Kwani ni mara ya kwanza? Mbona kwenye mikutano tunaona kili water,dew drop nk?

Afya ya akili nintatizo kubwa sana Kwa Sasa.
 
Back
Top Bottom