dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 23,901
- 58,103
daah labda genye zinanisumbua aiseeNi yule bodyguard wa Rais. Mbona wa kawaida Sana tu!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
daah labda genye zinanisumbua aiseeNi yule bodyguard wa Rais. Mbona wa kawaida Sana tu!!
AahhaaaaaKuna mambo mengine sio ya kukuza..
Mwenye kamera ndio kaifata chupa.
Wewe mwenyewe unaendeshwa na hawara wako nyumbaniexactly, sasa hili lina maana gani? ndilo tatizo la kuongozwa na mwanamke.
Hawara yangu ni mama yako? Is that OK!Wewe mwenyewe unaendeshwa na hawara wako nyumbani
Hapa sio Ikulu, ni ofisi za AZAMWakuu.
Ukitizama vizuri hii picha ya Ikulu, ambayo naamini ilipigwa jana tarehe 18 May 2023, kuna bidhaa fulani ya biashara ya mtu binafsi inaonekana.
Je, hii ni sahihi kwa kiasi gani?View attachment 2627135
Bidhaa zipo nyingi sana kwenye hiyo picha!Wakuu.
Ukitizama vizuri hii picha ya Ikulu, ambayo naamini ilipigwa jana tarehe 18 May 2023, kuna bidhaa fulani ya biashara ya mtu binafsi inaonekana.
Je, hii ni sahihi kwa kiasi gani?View attachment 2627135