Ikulu; bidhaa ya kibiashara Meza Kuu

Hilo lilikuwa tukio la Azam kuzindua minara yao ya DTT na mgeni rasmi alikuwa Rais SSH. Ulitaka mezani waweke bidhaa gani nje ya product za Bakhresa!!??
 
Mama wa watu hajui kitu maskini. Hajui kwa kufanya hivyo anakuwa ameitumia ikulu kuitangaza bidhaa ya mtu binafsi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…