Ikulu, Chamwino: Rais Magufuli aapisha Baraza la Mawaziri. Awapunguzia adhabu wafungwa waliohukumiwa kunyongwa

Hao mawaziri ni geresha tu,ukweli mchungu ni kwamba mtu mmoja ndiye Rais na ndiye waziri wa wizara zote!
 
Nimekujibu swali lako kwamba niliyekuwa nampigia chapuo hana utaalamu wowote na ndio nimekwambia cheo cha urais alichokuwa anagombea hakihitaji utaalamu wowote ,any fool can be a president ili mradi azungukwe na akili kubwa.
Sasa kwanini unakelele kama umeona vichwa kibao leo vinakula kiapo
 
Sasa kwanini unakelele kama umeona vichwa kibao leo vinakula kiapo

Hakuna vichwa hapo ,tunarusi kule kule mwanzoni kwamba walioteuliwa hawana utaalamu wowote wa kada husika!! Mwalimu wako alipata tabu sana kukuelewesha!! Na ndio maana mnaitwa ZERO BRAIN maana ni wepesi sana kusahau hamna kitu kichwani.
 
Hakuna vichwa hapo ,tunarusi kule kule mwanzoni kwamba walioteuliwa hawana utaalamu wowote wa kada husika!! Mwalimu wako alipata tabu sana kukuelewesha!! Na ndio maana mnaitwa ZERO BRAIN maana ni wepesi sana kusahau hamna kitu kichwani.
Ndio nikakujibu watazungukwa na vichwa wizarani au huelewi nn
 
Kwa hiyo hawa ndiyo wachawi wakubwa hapa Tanzania? Sijuwi watakuwa waliua nani mpaka wakaja kupewa wizara....nina imani kwamba viongozi wetu bila uchawi hawafanyi kazi, zamani walikuwa wanateketeza maalbino ili wawe mawaziri ama wabunge. Waone kwanza haooooo, wachawi wakubwa nyie.
 
Kwa kuwa umezaliwa na wachawi unajua kila nayefanikiwa na mchawi
 
Usijibu simple tu ,acha bra bra!! Wewe unaojua tufahamishe katibu wa wizara ana JD gani? Je kuna kazi ambazo hawezi kuzifanya mpaka apewe Waziri au N/Waziri?
Hapa kwetu ni kupeana ulaji tu kwa gharama za walipa kodi wanyonge. Kenya, waziri ndiye huyohuyo katibu mkuu. Sioni sababu ya kuwa na waziri na naibu waziri kiukweli. Ni kuongezea wananchi mzigo wa kodi kwa ajili ya kuendeshea serikali iliyojaa watu wengi wasio watendaji (redundant)!
 
Majukumu ya katibu mkuu yapo kiofisi zaidi katika utekelezaji wa sera za wizara husika. Waziri yupo kisiasa zaidi kwenda kwa wananchi kusikiliza changamoto zao na kujiridhisha Kama sera za wizara yake zinatekelezwa ipasavyo.
 
Ni kweli kabisa wanaongeza gharama kibao kwa wananchi ambapo hizo fedha zingeenda kutumika sehemu nyingine...Imagine Viete 50 +Mafuta zaidi ya Bil 2 tu kwa ajili ya magari+wese ,acha maperdiem,marupurupu,resheni etc.
 
Kwa kuwa umezaliwa na wachawi unajua kila nayefanikiwa na mchawi
Mkuu usipende kuwaamini viongozi serikalini na wabunge....wale ni hatari mno maana wasiporoga wenzao wanawamaliza.
 
Atawapa akiwa anaondoka ukumbini sema wewe hujui protocol za kiserkal umezoea maandamano na maji mkononi
Kwanini Jiwe hawapi mikono Mawaziri wake? Jamaa muoga sana
 
Viapo katika nchi za kiafrica ni Formality tu...essence hakuna mana baada ya viapo kile kiapo badala ya kubaki kichwani hukimbilia tumboni!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…