Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 54,943
Dini gani? Mbona mnapata mihemko na dini za watu.Baraza hili naliona kama la dini moja tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dini gani? Mbona mnapata mihemko na dini za watu.Baraza hili naliona kama la dini moja tu
Kiwewe tu unafikiri hajui kusoma kama mboweHuyu naibu waziri wa fedha alifanyiwa vetting au ni kubalansi genda?
Anashindwa hata kusoma vizuri kilichoandikwa ili kuapa.
Inakuaje mawaziri/ manaibu waziri wengine wanashindwa kusoma kilichoandikwa ili kuapa?Ni hawajui kusoma au wana matatizo ya macho au hofu??
Hii inatia mashaka uwezo wao kama wako sawa.
Dah Mungu atusaidie tuKuna vitu vinakufanya ujue uwezo wa mtu, huyu mama kuna uwezekano kabebwa kubalansi genda.
Kuna mama kapita anakusanya viapo vya mawaziri na manaibu wao, aiseeee! Ningependa niwaone watoto wake wa kike!Naibu Waziri Mary Masanja[emoji91][emoji91][emoji91] ana figa ya kisukuma haswaaa
Kuna mama kapita anakusanya viapo vya mawaziri na manaibu wao, aiseeee! Ningependa niwaone watoto wake wa kike!
Atawapa akiwa anaondoka ukumbini sema wewe hujui protocol za kiserkal umezoea maandamano na maji mkonon
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🤣Atawapa akiwa anaondoka ukumbini sema wewe hujui protocol za kiserkal umezoea maandamano na maji mkononi
Kuna mama kapita anakusanya viapo vya mawaziri na manaibu wao, aiseeee! Ningependa niwaone watoto wake wa kike!
pia angelina mabula, bila shaka watoto wake wa kike watakua mashaallah...mama kafungasha alafu kaenda hewani
Single mom huyo unaweza weka kachambo ule minofuKweli Anjelina Mabula nae sio haba , leo tumpe kongole camera man wa TBC1
Single mom huyo unaweza weka kachambo ule minofu
V8 la mil. 400 atakuwa analiona kwenye tv!Mkurugenzi Geita kashaliwa kichwa
Nani alifanya hivyo?Nitashangaa Na Wewe Uende Na WhatsApp Eti Ndiyo Nakagua Kifaru Kipya Hiki Hapa.
Haa 😁😂😅😏😄😀😁😂🤣😅😏😄
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
KigwangalaNani alifanya hivyo?