Ikulu, Chamwino: Rais Magufuli aapisha Baraza la Mawaziri. Awapunguzia adhabu wafungwa waliohukumiwa kunyongwa

Ikulu, Chamwino: Rais Magufuli aapisha Baraza la Mawaziri. Awapunguzia adhabu wafungwa waliohukumiwa kunyongwa

Hofu jibu unalo acha longolongo
Inakuaje mawaziri/ manaibu waziri wengine wanashindwa kusoma kilichoandikwa ili kuapa?Ni hawajui kusoma au wana matatizo ya macho au hofu??
Hii inatia mashaka uwezo wao kama wako sawa.
 
Kuna mama kapita anakusanya viapo vya mawaziri na manaibu wao, aiseeee! Ningependa niwaone watoto wake wa kike!

pia angelina mabula, bila shaka watoto wake wa kike watakua mashaallah...mama kafungasha alafu kaenda hewani

Kweli Anjelina Mabula nae sio haba , leo tumpe kongole camera man wa TBC1
 
Haya sasa ni muda wa Jiwe kuongea, ni muda wa vijembe, muda wa kujua akina Kigwa na Wenzake kwanini wamepigwa chini
 
Nitashangaa Na Wewe Uende Na WhatsApp Eti Ndiyo Nakagua Kifaru Kipya Hiki Hapa.
Haa 😁😂😅😏😄😀😁😂🤣😅😏😄
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
 
Nitashangaa Na Wewe Uende Na WhatsApp Eti Ndiyo Nakagua Kifaru Kipya Hiki Hapa.
Haa 😁😂😅😏😄😀😁😂🤣😅😏😄
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
Nani alifanya hivyo?
 
Back
Top Bottom