Ikulu, Chamwino: Rais Magufuli aapisha Baraza la Mawaziri. Awapunguzia adhabu wafungwa waliohukumiwa kunyongwa

Hiyo hotuba itasaidia nini kuinua uchumi wa nchi uliodorora?

Mnapenda kujiliwaza kwa vitu vidogo vidogo.
 
Uchumi wa taifa umekuwa kwa kasi hasa kipindi hiki cha corona na sasa tupo uchumi wa kati
 
Pesa zilitengewa kazi hii maana ipo kwenye ratiba ya kitaifa
Simaanishi fedha zilizotengwa ,sioni umuhimu wa hivyo vyeo vya mawaziri wala manaibu waziri wakati tuna makatibu na manaibu katiba wa wizara ambao ni wataalamu katika kada husika, hao watu 46 sijui 50 ,W na NW ni upotevu wa kodi zetu tu BURE hawana wanachofanya zaidi ya kutumia miviete na kula perdiem ,mirupurupu,resheni tu BURE.
 
Utaona wapi wakati hukusoma shule hujui umuhimu wa utawala kitaasisi
Simaanishi fedha zilizotengwa ,sioni umuhimu wa hivyo vyeo vya mawaziri wala manaibu waziri wakati tuna makatibu na manaibu katiba wa wizara ambao ni wataalamu katika kada husika ,hao watu 46 sijui 50 ,W na NW ni upotevu wa kodi zetu tu BURE hawana wanachofanya zaidi ya kutumia miviete na kula perdiem ,mirupurupu,resheni tu BURE.
 
Utaona wapi wakati hukusoma shule hujui umuhimu wa utawala kitaasisi
Taasisi wapi wakati hao N na NW ni wanasiasa ,hawana utaalamu wowote kwenye kada wanazosimamia ,ni upotevu wa fedha tu!! Tuna wasomi kibao ambao wamefanya mambo ya ovyo kuzidi hata matapu tapu waliyofanya kina Chifu Mangungo.

Ni bora ujinga husio na madhara kuliko elimu isiyo na faida.
 
Umesema utaalamu hivi unaandika ukiwa bar gani kijana hebu jaribu kupitia cv zao hapo hakuna mr zero mbowe,sugu,msigwa na lema vilaza wa ufipa walikombia umande

Hivi unajua maana ya utaalamu husika? Hivi nyie mkishamezeshwa vitu vya kuja kupayuka JF huwa hata kushirikisha ubongo mnashindwa? Unazungumzia Mtaalamu Kalamaganda kabugi Mwenye Cheti feki? Au Mtaalam wa Kutu za Maganda ya Korosho aliyefoji PIECHIDIII?
 
Hivi unafahamu kazi ya katibu mkuu wa wizara na naibu wake?

Mungu wako unamkana (Lissu= tototundu)
Hivi unafahamu kazi ya katibu mkuu wa wizara na naibu wake?
Sifahamu Mkuu,ebu nifahamishe kazi zao na pia nifahamishe kazi za Waziri na N/Wazira katika wizara!! Je kuna umuhimu wa kumpa kazi W na NW katika hiyo wizara? Ukiondoa Kujibu Maswali bungeni na kutembelea miradi (Hapa wanatembelea kwa ajili ya kupiga perdiem tu ,hizo kazi zingefanywa na watu wengine kabisa katika maeneo waliyopo maana kuna watu wameajiriwa kwa kazi hiyo..DED),wana kazi gani nyingine?
 
Kumbe hujui unalopigania

Usijibu simple tu ,acha bra bra!! Wewe unaojua tufahamishe katibu wa wizara ana JD gani? Je kuna kazi ambazo hawezi kuzifanya mpaka apewe Waziri au N/Waziri?
 
Huyo uliyekuwa unampigia chapuo alikuwa amesoema uongozi wapi?
 
Akili kubwa ni Mali ya Rais ,Hata Mpumbavu anaweza kuwa rais ili mradi azungukwe na akili kubwa -Nimenukuu maneno ya Julius Malema na Pia mabandiko ya Kada wenu Ole Mushi.

Kwahiyo Rais anaweza kuwa mtu yeyote hata wewe zero brain au hata Liquid Piere ili mradi tu azungukwe na vichwa vyenye akili.
 
Sasa hapo akili ndogo umeiona wapi?
 
Sasa hapo akili ndogo umeiona wapi?
Nimekujibu swali lako kwamba niliyekuwa nampigia chapuo hana utaalamu wowote na ndio nimekwambia cheo cha urais alichokuwa anagombea hakihitaji utaalamu wowote ,any fool can be a president ili mradi azungukwe na akili kubwa.
 
Back
Top Bottom