Ikulu, Chamwino: Rais Magufuli ateua Baraza la Mawaziri lenye Wizara 23. Aunda Wizara mpya ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

tusimlaumu magu, wakulaumiwa ni bakwata na ma sheikh ubwabwa.
 
Huu upuuzi wa kuwapa watu uwaziri wakati ni wabunge wa kuteuliwa na hawajaapishwa na yule kifupi nyundo ndugai umeanza lini ?
Yaani country inaendeshwa kama kijiwe cha wahuni.
No rule of law no what, yaani mambo yote ni shaghalabaghala
 


Your browser is not able to display this video.
 
Hao ma Prof wamefanya kitu gani tangible??

Kimei amefanya kitu kinachoonekana, sio kuandika papers kwa msaada wa Wikipedia..
Ingekua kuandika paper ni rahisi hata wewe ungeandika mkuu, and hao wanaoreview na kupublish hizo paper online sio wajinga wajinga kama unavyofikiri wewe, ni panels zilizojaa wabobezi wa fani husika kila pande za dunia. Acha kuendekeza sana stories za wapuuzi vijiweni
 
Waislamu tutachangiwa sadaka za kanisani tujengewe masjid
Kwa kweli Magufuli tangu aingie madarakani amejitahidi kuonesha chuki ya wazi kwa Waislamu. Wazanzibari na Wachaga
Baraza la mawaziri la jamuhuri ya muungano hakuna Mzanzibari hata mmoja
Waislamu watatu
Wapare 0 wachagga 1 Wasukuma 5
Karibu theluthi wanatoka kanda ya Ziwa
 
Ulichokiandika ni kwa mujibu wa Katiba ya JMT au ni kwa mujibu wa mihemko tu?
 
kwa nini tunaingiza udini? sioni kosa lolote hapo maana watanzania wote tunataka maendeleo tu sio dini za watu, maaana hata akiwa mkiristo kinacho takiwa ni awe mwadilifu kwa watu wote,
Wewe jamaa mdini sana aisee,
Hapo zimegawanywa kada tatu tofauti wewe umeona ya udini tu.

Kuna Gender, Dini na Wanakotokea lakini umeshupalia hiyo ya Dini, means unafahamu kuwa haiko sawa ndo maana unatetea.
 
Hii ina shape picha ya Raisi ajaye kama mheshimiwa atapumzika. Kama watafuata mazoea ya kubalishana kidini basi Jaffo au KM, otherwise namuona Dotto Biteko Raisi ajaye.
Kwa jinsi Mkulu asivyowapenda kundi "Lile" hoja ya kubadilishana au kupokezana isahau kabisa
 
CC FaizaFoxy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…