Ikulu, Chamwino: Rais Magufuli ateua Baraza la Mawaziri lenye Wizara 23. Aunda Wizara mpya ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

Hongera kwa Baraza jipya la Mawaziri, sasa tuchape kazi tu
 
Bila ya shaka gwajiboy hakupenda kumuona mama ameula na siyo yeye πŸ˜‚πŸ˜‚
Hata sijui ila nimefurahi sio yule gwajiboyπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚hata ubunge alivyotangazwa mshindi iliniumaaaa
Bila ya shaka gwajiboy hakupenda kumuona mama ameula na siyo yeye πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…