Ikulu, Chamwino: Rais Magufuli ateua Baraza la Mawaziri lenye Wizara 23. Aunda Wizara mpya ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

Ikulu, Chamwino: Rais Magufuli ateua Baraza la Mawaziri lenye Wizara 23. Aunda Wizara mpya ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

Dk Faustine Ndugulile Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Hii ni Wizara mpya.

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Anamfuata Dr. Chaula wakaendeleza kupinga maagizo
 
Hahahahaha naye ni Msukuma huyu?
BARAZA LA MAWAZIRI: Rais John Magufuli, amemteua Dk. Dorothy Gwajima kuwa Mbunge wa Bunge la Tanzania. Pia, amemteua kuwa Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na watoto.
 
George Simbachawene Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi.
 
Back
Top Bottom