LiverpoolFC
JF-Expert Member
- Apr 12, 2011
- 11,483
- 3,369
Hakuna kitu chochote kipya😏😏stay tuned. hongeran makomred sasa taifa linaenda kupata sura mpya muelekeo wa kimkakati
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna kitu chochote kipya😏😏stay tuned. hongeran makomred sasa taifa linaenda kupata sura mpya muelekeo wa kimkakati
Sent using Jamii Forums mobile app
Dk Faustine Ndugulile Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Hii ni Wizara mpya.
Tz hii ya kura za maruhaniKila la kheri na Mungu awaongoze katika shughuli za ujenzi wa Tanzania yetu.
👍👍BARAZA LA MAWAZIRI: Rais John Magufuli, amemteua Dk. Dorothy Gwajima kuwa Mbunge wa Bunge la Tanzania. Pia, amemteua kuwa Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na watoto.
BARAZA LA MAWAZIRI: Rais John Magufuli, amemteua Dk. Dorothy Gwajima kuwa Mbunge wa Bunge la Tanzania. Pia, amemteua kuwa Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na watoto.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣alivunja mwiko gani Da Dorothy??Daaah! Hongera kwake. Kwa upande mmoja anastahili kwasababu ni mpambanaji, lakini kajipendekeza sana hasa kipindi cha kampeni hadi baadhi ya miiko ya kazi yake aliivuka.
Na yale mandevu yake kama beberu zeekigwandala na waganga wake chaliii
Hakuna kigezo cha udini hapo acha kupotosha!!Wakiristo watupu!
....smartest young man!!
Aaamin aaamin.
Hasta la Victoria TANZANIA
Siempre Siempre TANZANIA
Wakristo wote hapo Rais mdin huyuHakuna kigezo cha udini hapo acha kupotosha!!
Hahahahaha naye ni Msukuma huyu?
Nchi haina dini madamu wote ni watanzania.Wakristo watupu! Baraza halijazingatia usawa wa kidini
Sheikh Ponda kawaponzaWakiristo watupu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]alivunja mwiko gani Da Dorothy??