Ikulu, Chamwino: Rais Magufuli ateua Baraza la Mawaziri lenye Wizara 23. Aunda Wizara mpya ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

Ikulu, Chamwino: Rais Magufuli ateua Baraza la Mawaziri lenye Wizara 23. Aunda Wizara mpya ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

Kuna watu hawatalala leo kwa msongo wa mawazo, kwa kukosa uteuzi.

Dkt. Kigwangalla hana option, zaidi ya kwenda kugombea nafasi ya uongozi Simba SC, ili apate nguvu ya kumdai na kumchamba Muddy zile hela alizo ahidi wakati ananunua hisa.

Pasco Mayalla amejitutumua sana kuweka makala za kumkosha Admini, kuanzia 2015 - 2020, ila nafasi zimejaa so asubiri uteuzi wa mwaka 2035.
HKigwa ameachwa ili apate wasaa Mzuri wa kujibizana na watu Instagram na Twitter
 
......kwani hawapo katika BARAZA?!!
Mnataka nini zaidi?!!

Watu huteuliwa kwa SIFA NA CV ZAO...

Kalaghabaho
Kuna vitu vingine aibu inatakiwa kuwepo ukweli ni kwamba hawa wenzetu hawajui tu au viongozi wao hawasemi lakini mnawafanyia uhuni sana aiwezekani ktk waisilamu maybe 1000 nchi hii hawana hzo CV mnazotaka unadhani why kuna kubadilishana ktk ngazi ya uraisi ?je siku akija rais mwisilamu ktk watu zaidi ya 49 katanganza wakristo wakawa maybe 10 au 12 mtajisikia poa? Mnawafanyia uhuni sana hawa ndugu zetu sema wenyewe sijui hawaoni ??
 
Bavicha wako bize kujadili baraza la mawaziri.
Silinde na katambi waliona mbali wakaachana na ujinga
 
Kuna vitu vingine aibu inatakiwa kuwepo ukweli ni kwamba hawa wenzetu hawajui tu au viongozi wao hawasemi lakini mnawafanyia uhuni sana aiwezekani ktk waisilamu maybe 1000 nchi hii hawana hzo CV mnazotaka unadhani why kuna kubadilishana ktk ngazi ya uraisi ?je siku akija rais mwisilamu ktk watu zaidi ya 49 katanganza wakristo wakawa maybe 10 au 12 mtajisikia poa? Mnawafanyia uhuni sana hawa ndugu zetu sema wenyewe sijui hawaoni ??
Akili ndogo unajaribu kuwaza yaliyo nje ya uwezo wako.
Baki na mawazo ujinga yako ya udini
 
Akili ndogo unajaribu kuwaza yaliyo nje ya uwezo wako.
Baki na mawazo ujinga yako ya udini
Sikia mm kwenye haki lazima isemwe usijifiche kwenye kichaka cha udini mm si mwislamu lakini kama haijatendeka haki lazima isemwe aiwezekani ni watu 8 tu nchi hii ni yetu wote lazima uonyeshe uko fair

kwenye teuzi vinaangaliwa vitu vingi kipindi kile yupo JK mbona mlikuwa mnasema ? ukweli ni kwamba hawa wenzetu wamefanywa raia wa daraja la pili japo wenyewe ndo walikuwa wengi ktk kutafuta uhuru wa nchi hii ukweli lazima usemwe mlikuwa mnasema eti hawajasoma haya sasa mnakuja na hoja gani sasa?
 
Wewe jiongelee peke yako lakini watanzania wanaojali uwiano kwenye baraza la mawaziri wako wengi. Lazima ikumbukwe uwazirini kazi muhimu serikalini na inatoa nafasi kwa mtu kulitumikia taifa lake kwenye ngazi ya juu na kujipatia uzoefu mkubwa serikalini. Marais wote Tanzania pia hupitia cheo cha uwaziri kabla ya kuwa rais.

Tatizo ni kwamba hakuwezi kuwa na tabaka la wakristo kwenye nafasi za uongozi serikalini kwa kisingizio eti watanzania hawajali kuwa waziri ni dini gani. Kiufupi waislamu wanajali. Sishangazwi na wakristo wengi wakijifanya kutoa visingizio eti hakuna tatizo kwasababu hizi fursa zimekwenda upande wao. Hizi bullshit stories kwamba waislamu hawajasoma hutumiwa sana kama kisingizio cha kuhalalisha hujuma.
Kule Zanzibar kwa baraza la mawaziri likoje?
 
Matangazo ya moja kwa moja kutoka Ikulu, Chamwino mkoani Dodoma kuhusu Uteuzi uliyofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli leo tarehe 05 Desemba 2020



========
Rais Magufuli pia amewateua kuwa Wabunge Dkt. Dorothy Gwajima(Alikuwa Naibu Katibu Mkuu TAMISEMI - Afya) na Dkt. Leonard Chamuliho (alikuwa Katibu Mkuu Uchukuzi).

Pia Rais Magufuli ameunda Wizara mpya ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari.

Orodha ya Mawaziri kama ilivyotangazwa na Katibu Mkuu Kiongozi.

1. Wizara ya Maji - Juma Aweso

2. Wizara ya Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo - Innocent Bashungwa

3. Wizara ya Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Vijana na wenye ulemavu - Jenister Mhagama

4. Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto - Dkt. Doroth Gwajima

5. Wizara ya Uwekezaji ofisi ya Rais - Profesa Mkumbo Kitila

6. Wizara ya Katiba na Sheria - Dkt. Mwigulu Nchemba

7. Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia - Profesa Joyce Ndalichako

8. Wizara ya Mifugo na Uvuvi -Mashimba Mashauri Ndaki

9. Wizara ya Maliasili na Utalii - Dkt. Ndumbalo Damas

10. Ofisi ya Rais TAMISEMI -Suleiman Jaffo

11. Wizara ya Madini - Dotto Biteko

12. Wizara ya Nishati - Dkt. Medard Kalemani

13. Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi - Mhandisi Dkt Leonard Chamuliho

14. Wizara ya Kilimo - Profesa Adolph Mkenda.

15. Wizara Viwanda na Biashara - Mwambie Geofrey Idelphonce

16.Wizara ya Mambo ya Ndani - George Simbachawene

17. Wizara ya Muungano na Mazingira - Ummy Mwalimu

18. Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya habari - Dkt Faustine Ndugulile

19. Wizara ya Fedha na Mipango - Dkt. Philip Mpango

20.Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki - Profesa Paramagamba Kabudi

21. Wizara ya Ardhi na Makazi -William Lukuvi

22. Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa - Elias John Kwandikwa

23. Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora - Capt Mstaafu George Mkuchika


Manaibu Waziri

1. Wizara ya Viwanda na Biashara- Kigae Silaoneka

2. Wizara wa Ardhi- Angelina Mabula

3. Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana na Ajira- Patrobas Katambi

4. Wizara ya Mambo ya Ndani- Hamis Hamza Hamisi

5. Wizara ya Fedha- Mwanaida Ali Khamis

6. Wizara ya Elimu- Kipanga Juma Omar

7. TAMISEMI- Dk Festo Ndugange

8. Wizara ya Nishati- Stephen Byabato

9. Menejimenti Utumishi wa Umma- John Ndejembi

10. Mawasiliano na Teknolojia ya Habari- Kundo Mathew

11. Wizara ya Mifugo- Pauline Gekul

12. Wizara ya Madini- Ndulane Kumba

13. Wizara ya Ujenzi- Godfrey Kasekenya

14. Ofisi ya Waziri Mkuu wenye ulemavu- Ummy Ndelinanga

15. Wizara ya Maji- Maryprisca Mahundi

16. Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo- Abdallah Ulega

17. Ofisi ya Makamu wa Rais (muungano na mazingira)- Mwita Waitara

18. Wizara ya Mambo ya Nje- William Olenasha

19. Wizara ya Maliasili na Utalii- Mary Masanja

20. Ofisi ya rais TAMISEMI- David Silinde

21. Wizara ya Kilimo- Hussein Bashe

22. Wizara ya Afya- Dk Godwin Mollel

23. Wizara ya Katiba na Sheria- Pinda Mizengo

View attachment 1642517
View attachment 1642518
View attachment 1642519
View attachment 1642520

VICHWA VYA HABARI VYA MAGAZETI YA LEO BAADA YA BARAZA LA MAWAZIRI KUTANGAZWA NA RAIS JOHN MAGUFULI JANA
 

Attachments

  • FB_IMG_1607222730191.jpg
    FB_IMG_1607222730191.jpg
    42.5 KB · Views: 1
  • FB_IMG_1607222742357.jpg
    FB_IMG_1607222742357.jpg
    47.8 KB · Views: 1
  • FB_IMG_1607222674539.jpg
    FB_IMG_1607222674539.jpg
    50.1 KB · Views: 1
  • FB_IMG_1607227449262.jpg
    FB_IMG_1607227449262.jpg
    42.7 KB · Views: 1
  • FB_IMG_1607227458460.jpg
    FB_IMG_1607227458460.jpg
    53.8 KB · Views: 1
  • FB_IMG_1607222682863.jpg
    FB_IMG_1607222682863.jpg
    54.6 KB · Views: 1
  • FB_IMG_1607222645025.jpg
    FB_IMG_1607222645025.jpg
    52.4 KB · Views: 1
  • FB_IMG_1607222638567.jpg
    FB_IMG_1607222638567.jpg
    43.2 KB · Views: 1
Ingekua kuandika paper ni rahisi hata wewe ungeandika mkuu, and hao wanaoreview na kupublish hizo paper online sio wajinga wajinga kama unavyofikiri wewe, ni panels zilizojaa wabobezi wa fani husika kila pande za dunia. Acha kuendekeza sana stories za wapuuzi vijiweni
Kila mtu ana hobby yake, wakati wengine hobby yao ni U'Academist wengine sie macho kwenye pesa tu..

Alafu hizo papers zao zimesaidia nini nchi hii labda?
 
Toa fact ya statistics sio unaongea maneno ya mtaani
Kwani uongo mkuu, Waislamu wengi wlithamini elimu ya dini wakapuuza elimu ya dunia, wakati huo wenzao wakristu kila walipojenga kanisa walijenga na shule. Ndo maana shule nyingi zilizotaifishwa baada ya Uhuru zilikuwa za mission.
 
Nauliza mbunge wangu Rihidhwani amepewa uwaziri wa wizara ip....samahani
 
hatuna mbunge anayeitwa Rihidhiwani kwwnye bunge la jamhuri ya muungano wa tanzania,
 
Watatu out of 23, does this make sense to you? You can't be serious
it makes sense hii sio nchi ya kidini tunaangalia competence mbona husemi kuhusu wakristo tena wasukuma wenzake aliowapiga chini wakina kanyasu na kigwangala
 
Back
Top Bottom