Ikulu, Chamwino: Rais Samia Suluhu Hassan amwapisha Dkt. Philip Mpango kuwa Makamu wa Rais wa JMT

Ikulu, Chamwino: Rais Samia Suluhu Hassan amwapisha Dkt. Philip Mpango kuwa Makamu wa Rais wa JMT

Philipo Isdor Zabayanga Mpango
😂😁😀
 
Spika wa Bunge la JMT mh Ndugai amemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kuteua mtu makini kuziba nafasi ya Waziri wa Fedha iliyoachwa wazi na Dkt. Mpango.

Spika Ndugai amesema mambo ya fedha yanataka mtu makini asiye na ulege lege.

Kila zama na kitabu chake

Maendeleo hayana vyama!
 
Back
Top Bottom