Alaaa
Nani tena mkuuohooooo yule kamanda aliyekataa kujiuzuru yanaenda kumkuta
😄😄😄ohooooo yule kamanda aliyekataa kujiuzuru yanaenda kumkuta
Yupi huyo mkuu?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]ohooooo yule kamanda aliyekataa kujiuzuru yanaenda kumkuta
Juhudi zote zile??
Akisalia basi tutaamini zilikuwa hila vinginevyo ni wakati tu ulikuwa ukisubiriwa utimieDuh Kigwa naye out vile
Mwigulu akirudishwa tutegemee vitendo vya kutekwa na watu kuopolewa kwenye viroba kupaa