Ikulu Dar: Rais Magufuli amemteua George Simbachawene kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Mussa Zungu apewa Wizara ya Mazingira

Ikulu Dar: Rais Magufuli amemteua George Simbachawene kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Mussa Zungu apewa Wizara ya Mazingira

Je ni nani atarithi nafasi ya alikuwa waziri wa mambo ya ndani bwana Kangi Lugola

Screenshot_20200123-165347.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya yatakuwa mabadiliko makubwa katika baraza la Mawaziri bila shaka

Sent from my SM-J700H using Tapatalk
 
=====TAARIFA=====
Matangazo ya moja kwa moja kutoka Ikulu Jijini Dar es Salaam yatawajia muda mfupi ujao kupitia vyombo vya habari vya Redio, Televisheni na Mitandao ya Kijamii. Aidha, waweza kutazama kupitia Youtube ya IkuluMawasiliano.
 
Back
Top Bottom