Ikulu Dar: Rais Magufuli amemteua George Simbachawene kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Mussa Zungu apewa Wizara ya Mazingira

Mmmh ni wewe si ulikuwa unasifia

Sent using Jamii Forums mobile app
Sijawahi msifia Lugora toka alipoanza kampeni zake za kukamata manabii na mitume wa kilokole na kuwafungia makanisa yao mbele ya waandishi wa habari.Nilisema humu Jamii forums wazi kuwa Lugora kafikia Mene mene Tekeli na Peresi ya kitabu Cha Biblia Cha Daniel.Nikasema acha akajitia mjuaji.Yako wapi? Kuna mwenzie mwanamke mkuu wa wilaya ya Ilala anaitwa Sophia Mjema Ajiandae kisaikolojia
 
Haya yatakuwa mabadiliko makubwa katika baraza la Mawaziri bila shaka

Sent from my SM-J700H using Tapatalk
Watafanya mabadiliko gani wizarani na muda ni mchache?? Filimbi karibu yalia dakika 90 zinaisha. Uchaguzi ni oct tu hapo
 
Sophia Mjema atubu tu kwa Muumba wake la sivyo apandacho mtu atavuna kwa wakati wake.
 
Huyu Zungu wa Mtaa wa Aggrey na Likoma, chumba kimoja ghorofa ya juuu kabisa, karibu na mkombozi benki, mnywa pombe kali, leo ni waziri. Ok
Zungu hakai huko. Ni moja ya makazi yake ila makao yake makuu sio huko.
 
Naona sasa anaokoteza tu maana nyumbani vimebaki vichomi tu!! Asione aibu aendelee kukopa kutoka upinzani.
 
RC alitengua kauli ila Ajiandae na yeye kufungishwa virago Kama Lugora.Sababu pamoja na RC kutengua aliendelea na ujuaji na uonevu akijua Lugora yupo imekula kwake
Yule dada, daaaah sijui hakuyapima maneno yake kabla ya kutoka hadharani na sijui hakuomba ushauri hata kwa watu wenye hekma sijui.
 
Zungu namkubali pia anaweza kuwa kiongozi mzuri sijui kwanini hakuonekana miaka mingi jamaa yupo social sana na hana makandokando.
 
Yule dada, daaaah sijui hakuyapima maneno yake kabla ya kutoka hadharani na sijui hakuomba ushauri hata kwa watu wenye hekma sijui.
Kiburi Cha uzima kilikuwa kinamsumbua.Ila humu Mimi Ni mmoja niliyeonya sana bila kumeza maneno kuwa wewe Lugora acha kunyanyasa walokole mbele ya waandishi wa habari na huyo Sophia Mjema wake hawakusikia.Hata Makonda alipotoa tamko kuwa walokole wasinyanyashwe yeye Sophia Mjema na Lugora wake waliendelea.Hawakujali

Lugora alifikia hatua ya kunyanyasa mitume na manabii hadharani mbele ya kamera wakipandishwa kwenye defender nikapiga kelele wee Lugora acha hakusikiliza.
Ya Lugora yameisha eee Mungu malizana na Sophia Mjema ambaye pamoja na mtu wako RC kusema unyanyasaji uishe aliendelea tu na unyanyasaji.Mungu mbariki RC Makonda na umlipe Sophia Mjema Mara Mia ya ulichomlipa Lugora mwonezi wa walokole
 
Hapo Lugola aliharibu Sana kuingilia Uhuru wa kuabudu kama na DC naye alifanya hivyo basi alifanya makosa.
 
NAONAA UKOOO WA SIMBACHAWENE NYOTAA ZIMENGAAAAA
 
Watafanya mabadiliko gani wizarani na muda ni mchache?? Filimbi karibu yalia dakika 90 zinaisha. Uchaguzi ni oct tu hapo
Nani candidate upinzani atakayemtikisa Magu????? au nindoto za mchana, msije mkahamaishana kutokupiga kura njooni kwenye sanduku la kura si hapa jf
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…