Fedha kusaidia kuimarisha sector zilizo athirika na korona kama utalii maji nakadhalika.Hivi kweli hiki ni kitu tunachokihitaji Kwa sasa??
Ni kweli tunahitaji kukopa Ili kupambana na COVID-19??
Sidhani.
Sector wanazodai zimeanguka ndo hawahawa walisema zimetufikisha uchumi wa kati!Fedha kusaidia kuimarisha sector zilizo athirika na korona kama utalii maji nakadhalika.
Unajitoa ufahamu wewe msukule wa Jiwe.
Maisha ya watanzania hayawezi kuyumbishwa na hawa wanaotaka kujipatia fedha kupitia watu... baada ya kuwekeza katika kukusanya kodi wanataka kujiwekeza ktk kujipatia fedha kwa njia za kutengeneza hivi kweli Tanzania hasa kipindi hiki tunaitaji kukopa pesa kwa ajili ya Corona kweli?? 😢😢😢 huyu mama mbona anataka kutuleta vitu vya ajabu namna hii
Najiuliza hawa wanaosema Sijui 3 wave haya wakina Mbowe wameshapiga vaccination kwa maana ya kinga lakini kutwa wanavaa barakoa utadhani madoctor wa chumba cha upasuaji sasa najiuliza kama mtu umepiga kinga dhidi ya ugonjwa fulani mfano leo watuambie hii ni kinga dhidi ya ukimwi lakini hao hao waliotuuzia kinga bado wanatusisiza matumizi ya Condom wkt wa mibunyo , mtu mwenye akili lazima ashangae huu ujinga na uhuni unaotaka kuletwa na hawa wahuni.
Serikali yote ilikuwepo ktk wave zote 2 wengine mpk wakajikuta kama madoctor manyau nyau hv leo waziri wa afya na msaidizi wake wakiangalia ule uganga waliokuwa wanaufanya leo wanaongea mengine ndo maana nasema Mwafrica ni kiumbe wa ajabu kabisa kuwahi kuwepo Duniani
Nitaendelea kumuona JPM kama Rais bora kuwahi kutokea Tanzania mtu anayeamini ktk possible ktk impossible baba pumzika mtihani huu uliushinda tena kwa ushindi mkubwa sana miezi 3 toka uondoke tayari mwezio ameshindwa nakumbuka JK kuna kipindi Donald Cameroon waziri wa UK alisema bila Africa kuruhusu ndoa za jinsia moja hawawezi kupata misaada ya UK na washirika wake JK alishinda ule mtihani najiuliza ingekuwa kipindi hiki sijui ingekuwaje tungekuwa tunahudhulia harusi za watoto wetu wa kiume sasa 😢😢😢
Nani akupatie fedha za bure ????Hizo pesa ni mkopo au msaada?
Hivi kweli hiki ni kitu tunachokihitaji Kwa sasa??
Ni kweli tunahitaji kukopa Ili kupambana na COVID-19??
Sidhani.
IKULU, DODOMA: Mkurugenzi wa Idara ya Afrika kutoka Shirika la Fedha Duniani (IMF) Abebe Selassie amesema Shirika hilo litasaidia Tanzania kupata fedha kwa ajili ya kuimairisha sekta zilizoathiriwa na COVID19 ikiwemo Afya, Utalii na Maji
Ameeleza hayo alipokutana na kufanya mazungumzo na Rais Samia Suluhu Hassan
View attachment 1834747View attachment 1834748View attachment 1834749
Kaka bado hujaelewa kusudi la barakoa ni nini? Ni hasahasa kukinga wengine, halafu pia kujikinga mwenyewe kiasi.Maisha ya watanzania hayawezi kuyumbishwa na hawa wanaotaka kujipatia fedha kupitia watu... baada ya kuwekeza katika kukusanya kodi wanataka kujiwekeza ktk kujipatia fedha kwa njia za kutengeneza hivi kweli Tanzania hasa kipindi hiki tunaitaji kukopa pesa kwa ajili ya Corona kweli?? 😢😢😢 huyu mama mbona anataka kutuleta vitu vya ajabu namna hii
Najiuliza hawa wanaosema Sijui 3 wave haya wakina Mbowe wameshapiga vaccination kwa maana ya kinga lakini kutwa wanavaa barakoa utadhani madoctor wa chumba cha upasuaji sasa najiuliza kama mtu umepiga kinga dhidi ya ugonjwa fulani mfano leo watuambie hii ni kinga dhidi ya ukimwi lakini hao hao waliotuuzia kinga bado wanatusisiza matumizi ya Condom wkt wa mibunyo , mtu mwenye akili lazima ashangae huu ujinga na uhuni unaotaka kuletwa na hawa wahuni.
Serikali yote ilikuwepo ktk wave zote 2 wengine mpk wakajikuta kama madoctor manyau nyau hv leo waziri wa afya na msaidizi wake wakiangalia ule uganga waliokuwa wanaufanya leo wanaongea mengine ndo maana nasema Mwafrica ni kiumbe wa ajabu kabisa kuwahi kuwepo Duniani
Nitaendelea kumuona JPM kama Rais bora kuwahi kutokea Tanzania mtu anayeamini possible ndani ya impossible... baba pumzika mtihani huu uliushinda tena kwa ushindi mkubwa sana miezi 3 toka uondoke tayari mwezio ameshindwa nakumbuka JK kuna kipindi Donald Cameroon waziri wa UK alisema "bila Africa kuruhusu ndoa za jinsia moja hawawezi kupata misaada ya UK na washirika wake" JK alishinda ule mtihani najiuliza ingekuwa kipindi hiki sijui ingekuwaje ...tungekuwa tunahudhulia harusi za watoto wetu wa kiume wakiolewa na madume menzao na watoto wa kike wakiolewa na majike menzao 😢😢😢