Kinyungu JF-Expert Member Joined Apr 6, 2008 Posts 19,484 Reaction score 38,416 Mar 29, 2021 #681 mama D said: Kila la heri Rais wetu kipenzi Samia Suluhu Hassan Kazi inaendelea Click to expand... Kazi iendelee lakini wizi na ujanja ujanja wa mwendazake lazima uwekwe hadharani.
mama D said: Kila la heri Rais wetu kipenzi Samia Suluhu Hassan Kazi inaendelea Click to expand... Kazi iendelee lakini wizi na ujanja ujanja wa mwendazake lazima uwekwe hadharani.
Teknocrat JF-Expert Member Joined Oct 20, 2018 Posts 4,967 Reaction score 11,056 Mar 29, 2021 #682 TODAYS said: Muachage kuonyesha ujinga mbele za watu. Onyesha yako 🚮! Click to expand... Kama Jirani yako akisukumia ugali wiki nzima na sukumawiki, kwako wewe unaona uko vizuri na Makande wiki nzima, au vipi Akili ndogo......
TODAYS said: Muachage kuonyesha ujinga mbele za watu. Onyesha yako 🚮! Click to expand... Kama Jirani yako akisukumia ugali wiki nzima na sukumawiki, kwako wewe unaona uko vizuri na Makande wiki nzima, au vipi Akili ndogo......