Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ameedit mkuu maana lazima angeng'olewaCAG aliyepita prof Assad alitoa ripoti mbaya ya ununuzi wa hizo ndege matokeo yake Ndungai akamvalia njuga hadi akatolewa na Mara zote mkuu aliyepita alitangaza faida ya hizi ndege. Mkaguzi Kichere atuambie ni kweli hii ndiyo taarifa aliandaa kumpelekea JPM au ameiedit baada ya kugundua kuwa anaepelekewa siyo JPM tena.
Hiyo ni hasaraATCL iliyopata kwa miaka mitano kujiendesha kwa hasara,ukiongeza na hela zilizonunulia hayo madege ambazo hazitarudi,ni hasara juu ya hasara.Tukianzia hapo kwenye ndege ni uchafu mtupu. Ripoti ya CAG kwa mwaka 2019/2020 iliyotolewa jana inasema Kuna hasara ya Tsh 60 billion, na ikaongezea kuwa kwa miaka mitano shirika hilo limekuwa hasara kubwa sana meaning wakati pombe ikiwepo hakuwa na uwezo wa kutuambia madudu haya.
Nina imani na MAMA, noana tutapiga hatua
Kweli kabisa wewe ni zombiHakuna kampuni kubwa duniani itaongozwa bila hasara wafanyabiashara wanaelewa labda lengo ilikuwa ni faida ya billion 200 faida ikapatikana billion 140 hapo kuna hasara kwenye faida....
Bwashee wewe umekipata wapi?Mauwizi ya Meko yote yapo kwenye kile kitabu "kidogo" . Nimekisoma
Hahaaaaaaaa😁😂😂Mauwizi ya Meko yote yapo kwenye kile kitabu "kidogo" . Nimekisoma
Amekipata kwa BashiruBwashee wewe umekipata wapi?
... report zile zinaandaliwa na timu hawakosekani wazalendo wa ukweli kwenye hizo timu.Bwashee wewe umekipata wapi?
... ha ha ha! Jamaa hata tumbo "halijapasuka" mnasengenya hivyo!MATAGA yanaona aibu sahizi.
Waliomuita MTAKATIFU kumbe ni Mtaka tifu.
Tutaona mengi sana
Hahahaaaa........!Hahaaaaaaaa😁😂😂
Mshana jr kuja huku haraka!
Ni balaa!Kikawaida CAG husoma taarifa fupi ya ripoti yake na kisha kumkabidhi Rais Vitabu vya ripoti.
Safari hii imekuwa tofauti kidogo CAG Kichere wakati akisoma taarifa yake alimwambia Rais Samia kwamba atamkabidhi kitabu kingine "kidogo" na kumuomba akisome kwa umakini mkubwa.
Nadhani hiki kitabu kidogo kitakuwa kimesheheni nondo za uhakika.
Mungu ni mwema wakati wote!