OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
tuliza kichwaSasa mbona hayo mabilioni yametaka kuchotwa baada ya Magu kufa, hii sasa inahusiana nini na Magu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tuliza kichwaSasa mbona hayo mabilioni yametaka kuchotwa baada ya Magu kufa, hii sasa inahusiana nini na Magu?
View attachment 1737379
Nani aliyevikalia vyombo vya habari kuripoti ufisadi wa kutisha,alikuwa na malengo gani? Kwani ufisadi ukianikwa si anapata habari anashughulikia? Sasa kwa nini akataze? Alikuwa anafaidika? Mimi sijui.
Itoshe kusema kwamba ni Mwisho wa Enzi,kwa sasa ni mshike-mshike ndege tunduni
... ashtakiwe "in absentia" au?JPM ashitakiwe! Hakuna namna.
Kuna uislamu mchafu?
Mkuu, kwani watu tunalamaana basi!!Hivi yule Tanzanaiti media ataliongelea hili la Bilioni 60 kwa Mwezi
Wasemaje???Hapo ndio alipojidanganya na kuvuka mipaka [emoji16][emoji16][emoji16]
System ikaona huyu Kumbe ni zwazwa kiasi hiki bila shaka hatufai
Nadhani Tz tunahitaji kujenga taasisi na siyo hii ya tumbua weka mwingine, mtu anaona hata akitumbuliwa fresh tu,mzigo wa hadi wajukuu upoKazi kweli kweli...fedha zinapotea kirahisi rahisi tu daah Bongo
Hata wangekuwa nazo 1000,issue Kubwa ni wamepata hasara pia.afu mjinga ni wewe na wana ukoo wenzako.Mbona unakuwa mjinga mjinga Kenya wana ndege ngapi kulinganisha na huku
Wampe tenda kigwangala atengeneze kama lile LA Nyerere.Mkuu, kwani hili nalo linahitaji maswali na majibu kutoka upinzani au Serikali ikiamua tu hata Kesho linafanyika?
Ondoka usemwe.Marehemu kashaanza kulaumiwa huku wakat wiki iliyopita alikua anasifiwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpango kazi utoke wapi wkt kamati ya bunge ilisema ATCL ilianzishwa wkt haina hata business plan.Hii habari ya ATCL mwenye kujua mpango kazi tarajiwa atuwekee hapa
Nia ni kujua report hii ni gharama na matokeo tarajiwa, tujue pia ni report ya kipindi/muda gani wa uendeshaji ili kujua walitegemea kuanza kutengeneza faida lini, na hasara imesababishwa na nini
Hii habari ya ATCL mwenye kujua mpango kazi tarajiwa atuwekee hapa
Nia ni kujua report hii ni gharama na matokeo tarajiwa, tujue pia ni report ya kipindi/muda gani wa uendeshaji ili kujua walitegemea kuanza kutengeneza faida lini, na hasara imesababishwa na nini
Unajua zilipo ofisi za CAG,nenda kaombe ufafanuzi huko,ile faida ya bilioni 28 tuliyoambiwa atcl imeingiza uliihoji?
Mpango kazi utoke wapi wkt kamati ya bunge ilisema ATCL ilianzishwa wkt haina hata business plan.