Ikulu, Dodoma: Makabidhiano ya Ripoti ya CAG - Machi 28, 2021

Ikulu, Dodoma: Makabidhiano ya Ripoti ya CAG - Machi 28, 2021

Hakuna biashara isiyo na hasara baba.,kipindi hiki cha Covid biashara ya anga mashirika mengi yamepata hasara na hata biashara zingine nyingi zimegonga loss.

60Billion ni vijisent tu cha msingi ni kuangalia impact zitokanazo na taifa kumiliki ndege zake.
Mbona mtangulizi alisema linaleta faida?
 
Mungu mkubwa, najaribu kuwaza, Maghu angekuwa hai, hii ripoti mbaya kuhusu shirika al Ndege, angeipokea? Maana shirika linapata hasara kwa mfululizo kwa miaka mitano,au angetumbuliwa mtu, na ikatengenezwa Bongo muvi kufunika?
 
Mbona mtangulizi alisema linaleta faida?
Mtajustfy sana madudu ya Jiwe,

Shirika limekuwa linapata hasara kwa miaka 5, jiwe yupo Madarakani for 6yrs! Hata alipoambiwa,yeye aliendelea kununua madege
 
Hivi spika si amekuwa akitinga na lile vazi lake, leo vipi?
 
166179082_3887089538049376_7091232774563175875_o.jpg

Nani aliyevikalia vyombo vya habari kuripoti ufisadi wa kutisha,alikuwa na malengo gani? Kwani ufisadi ukianikwa si anapata habari anashughulikia? Sasa kwa nini akataze? Alikuwa anafaidika? Mimi sijui.

Itoshe kusema kwamba ni Mwisho wa Enzi,kwa sasa ni mshike-mshike ndege tunduni
 
View attachment 1737379

Nani aliyevikalia vyombo vya habari kuripoti ufisadi wa kutisha,alikuwa na malengo gani? Kwani ufisadi ukianikwa si anapata habari anashughulikia? Sasa kwa nini akataze? Alikuwa anafaidika? Mimi sijui...
Watu ndo wataenda kujiona maovu ya huyo mtu waliyemuita Shujaa wa Afrika. Hakuna kipindi nchi hii imepigwa kama kipindi cha magufuli. Kilichosaidia wananchi kutokujua ni uhuru wa vyombo vya Habari kuminywa tu!
 
View attachment 1737379

Nani aliyevikalia vyombo vya habari kuripoti ufisadi wa kutisha,alikuwa na malengo gani? Kwani ufisadi ukianikwa si anapata habari anashughulikia? Sasa kwa nini akataze? Alikuwa anafaidika? Mimi sijui.

Itoshe kusema kwamba ni Mwisho wa Enzi,kwa sasa ni mshike-mshike ndege tunduni

Usijihangaishe hakuna Media Tanzania.
 
Back
Top Bottom