Pasco yeye anataka ndege ziendelee kwenda Chato hata kama hakuna abiria ili kumuenzi marehemu.Pascal Mayalla anasemaje kwenye hii ripoti, sijamuona kapotelea wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pasco yeye anataka ndege ziendelee kwenda Chato hata kama hakuna abiria ili kumuenzi marehemu.Pascal Mayalla anasemaje kwenye hii ripoti, sijamuona kapotelea wapi?
[emoji14][emoji14][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
sio nyingi sana kwenye uendeshaji wa shirika la ndege hasa kwenye kipindi hiki cha covid na ushindani mkubwaBillioni 60 ni pesa mingi sana.
Mbona mtangulizi alisema linaleta faida?Hakuna biashara isiyo na hasara baba.,kipindi hiki cha Covid biashara ya anga mashirika mengi yamepata hasara na hata biashara zingine nyingi zimegonga loss.
60Billion ni vijisent tu cha msingi ni kuangalia impact zitokanazo na taifa kumiliki ndege zake.
Mtajustfy sana madudu ya Jiwe,Mbona mtangulizi alisema linaleta faida?
Muachage kuonyesha ujinga mbele za watu. Onyesha yako 🚮!Akili ndogo hii
Watu ndo wataenda kujiona maovu ya huyo mtu waliyemuita Shujaa wa Afrika. Hakuna kipindi nchi hii imepigwa kama kipindi cha magufuli. Kilichosaidia wananchi kutokujua ni uhuru wa vyombo vya Habari kuminywa tu!View attachment 1737379
Nani aliyevikalia vyombo vya habari kuripoti ufisadi wa kutisha,alikuwa na malengo gani? Kwani ufisadi ukianikwa si anapata habari anashughulikia? Sasa kwa nini akataze? Alikuwa anafaidika? Mimi sijui...
View attachment 1737379
Nani aliyevikalia vyombo vya habari kuripoti ufisadi wa kutisha,alikuwa na malengo gani? Kwani ufisadi ukianikwa si anapata habari anashughulikia? Sasa kwa nini akataze? Alikuwa anafaidika? Mimi sijui.
Itoshe kusema kwamba ni Mwisho wa Enzi,kwa sasa ni mshike-mshike ndege tunduni
ni zaidi ya EPASasa tunarudi enzi zile za EPA
ndio maana walitaka kuongezewa muda ili ayakalie maduduKifupi jamaa alikuwa ananufaika na huo wizi