Ikulu, Dodoma: Makabidhiano ya Ripoti ya CAG - Machi 28, 2021

Ikulu, Dodoma: Makabidhiano ya Ripoti ya CAG - Machi 28, 2021

dah hizi pesa zingewekezwa hata kwenye kuongeza kasi ya internet yaani kebnya wameingia 5g wakati huku kuna waziri ana beef na whatsapp
 
Hakuna kampuni kubwa duniani itaongozwa bila hasara wafanyabiashara wanaelewa labda lengo ilikuwa ni faida ya billion 200 faida ikapatikana billion 140 hapo kuna hasara kwenye faida


Only wakalimani wachache wanaweza kuelewa hii kitu
Amka, zama zimebadilika.
 
Ni ukewa mdogo wa watu tu wana wanaojua walijua kabisa shirika lilikuwa linapata hasara. Hakuna shirika lipya hivi la ndege linaendeahwa kwa faida Dunia hii
Ni kweli, mashirika mengi ya ndege yanaendeshwa kwa hasara nilishawahi sikia hilo
 
Hakuna kampuni kubwa duniani itaongozwa bila hasara wafanyabiashara wanaelewa labda lengo ilikuwa ni faida ya billion 200 faida ikapatikana billion 140 hapo kuna hasara kwenye faida


Only wakalimani wachache wanaweza kuelewa hii kitu
Amka, zama zimebadilika.
 
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Charles Edward Kichere leo tarehe 28 Machi, 2021 amemkabidhi Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ripoti za ukaguzi kwa mwaka wa fedha unaoishia tarehe 30 Juni 2020 katika halfa fupi iliyofanyika Ikulu Chamwino Jijini Dodoma na kuhudhuriwa na Viongozi mbalimbali kutoka Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi...
Hivi mbona Dr. Bashiru na Ndugai wamekuwa wapole ghafla, kuna nini?
 
Kuna madini aliyafinyia kwa ndani ila baada ya mchezo kubadilika akakesha na kuyarejesha kwenye report.
Mama pia amempa moyo CAG na amemsisitiza afunguke asifiche-fiche mautopolo.
Sasa kama ni kweli alikesha ana doctor report to suit current situation ya nini kuendelea na mtu kama huyo kwenye mission critical post namely CAG, mama afumbe macho ahachane naye gracefully - hakuna jinsi.

Mama hana haja ya ku-waste her Mega Calories akijaribu kumtia moyo current CAG ili afunguke zaidi, ya nini bwana? Wakati Mzalendo Prof. Assad fits the bill ya kufanya/timiza wajibu wake tranparently not latently.

Watanzania wote tulimuona Prof. Assad jinsi alivyo kuwa anaji-conduct by maintain his cool muda wote amesimamiwa ili akabidhi ofisi mbele ya flying squad ya waandishi wa habari walio tumwa maksudi to send a message and humiliate mzalendo wa watu - kawa treated like a seasoned criminal - kisa? Katoa Auditing report ya kweli bila ya kuficha kitu.
 
CAG’s report shows ATCL made a loss of Sh60 billion

1616957512423.png
 
Hilo mbona lilijulikana kitambo tu. Halafu kuna mwaka alikataa kuongeza mishahara wafanyakazi, na kuwapandisha madaraja kwa miaka sita sasa, kwa sababu hela inaendelea kununulia ndege!

Halafu leo unaambiwa ndege zenyewe zinajiendesha kwa hasara! Kwa hali kama hii, huyo mtawala atapendwa au kukubalika kweli na hao wafanyakazi! Labda wale wasio jitambua au wale wanufaika tu wa utawala wake.
 
Hakuna biashara isiyo na hasara baba, kipindi hiki cha Covid biashara ya anga mashirika mengi yamepata hasara na hata biashara zingine nyingi zimegonga loss.

60 Billion ni vijisent tu cha msingi ni kuangalia impact zitokanazo na taifa kumiliki ndege zake.
 
Hakuna biashara isiyo na hasara baba.,kipindi hiki cha Covid biashara ya anga mashirika mengi yamepata hasara na hata biashara zingine nyingi zimegonga loss.

60Billion ni vijisent tu cha msingi ni kuangalia impact zitokanazo na taifa kumiliki ndege zake.
Kwani Corona imekuja lini mkuu? Report inaongelea miaka 5
 
Hakuna biashara isiyo na hasara baba.,kipindi hiki cha Covid biashara ya anga mashirika mengi yamepata hasara na hata biashara zingine nyingi zimegonga loss.

60Billion ni vijisent tu cha msingi ni kuangalia impact zitokanazo na taifa kumiliki ndege zake.
Ni kweli lakini kwa ATCL yetu imetengeneza hasara kwa miaka yote!
 
Sio kila biashara lzm uone faida ndani ya 5yrs,tuendelee kunywa mtori nyama zipo chini,inshallah.
60B ni hela ya shopping ya siku moja ya mama Tiba

[emoji120][emoji120]
Uko sahihi sio kila biashara lazima uone faida ndani ya miaka 5, issue ni kwamba Kwa miaka mingine yote hiyo biashara waga ina hasara na inajulikana ndomana wengine wakaipotezea, ila mkuu yeye akaivamia bila research ya kutosha wanaojua wakapinga Sana maamuzi yake Ila kwakuwa ilikuwa ukipinga unabatizwa jina la adui wa maendeleo ya nchi na mbaya Zaidi akawa anatoa data za uongo kuwa shirika Kwa sasa linajiendesha Kwa faida.

Prof Assad hii issue ya hizi ndege ilimtoa madarakani Kwa figisu Tu za Bunge kupitia ndugai pale alipokuwa na Nia njema Tu ya kutujuza haya ambayo leo yameongelewa na pasina Shaka km mh angekuwa hai hii report isingetoka hivi bali ingebadilishwa lazima ili tuamini tuliyokuwa tunaambiwa, so issue sio hasara Bali issue ni tuliambiwa hatupati hasara.
 
Back
Top Bottom