The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 8,082
- 17,838
Kuna uislamu mchafu?Mama Samia mweshimiwa Rais ni mwislamu safi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna uislamu mchafu?Mama Samia mweshimiwa Rais ni mwislamu safi
kwa mazingira ya ATCL yalivyokuwa mwanzo hali ilikuwa mbaya zaidi.Billioni 60 ni pesa mingi sana.
Ww upo pamoja na mm tatizo ujatulia sikatai ni kwel data zilipikwa lkn data halis jamaa alipewa nyuma ya pazia
CAG kaongea ukweli kipindi hiki
Ndio !!!Sasa kama alipewa Nyuma ya panzia ..unakubali kua alikua akitudanganya sio?
Ndio !!!
Tuliza mzuka basi
Niliamua kukaa kimya tu. Sikuona cha kuandika.Jf kwangu ni chanzo cha habari. Nikisikia jambo lolote nikija jf nisipolikuta 100% najua ni uongo.
Jf kwangu ni darasa. Jf kwangu ni burudani.
Nimekushangaa wewe mleta mada eti Samia ndio kakurudisha jf. Inamaana hata majukwaa mengine ulikuwa hutembelei! Maajabu kweli.
Huo ndiyo mwisho wenu wa akili zenu nyinyi MATAGA.Hivi unadhani mama samia ni chadema/ACT? Au umehama chama?
Wanafikiria habari za 180 billionOya mbona mmenuna?View attachment 1736889View attachment 1736890
ATCL hasara tupu kwa miaka mitano mfululizo. Hivi CAG kwanini hakuliona na kulisema hilo live bila chenga kwenye report ya mwaka jana na juzi? #FearingMagufuli
JPM aliuua upinzani, rais Samia kaja kuuzika rasmi...Huo ndiyo mwisho wenu wa akili zenu nyinyi MATAGA.
Hata kama ni mpinzani kumpongeza kiongozi wa nchi kama amefanya jambo lenye manufaa kwa taifa halina majadala wala siyo dhambi.
MATAGA mtabakia hivyo hivyo gizani wakati dunia inawapita tu.
Rais amefanya jambo la kusifiwa maana lina manufaa kwa taifa hivyo lazima tumpongeze.
Najua nyinyi MATAGA hamkufurahishwa na hilo jambo la kuibua ufisadi leo hii maana mlikuwa mnatamba kuwa awamu ya tano mmekomesha ufisadi kumbe nyinyi wenyewe ndiyo mafisadi.
Pumbaf wewe MATAGA watu wanafurahia kiongozi anavyofanya kazi kwa weledi na siyo mihemukonawashangaa, leo wanaishangilia sisiemu...
Huyu siyo mgeni anafanya anacho kijuaHuwa wanaanzaga kwa mbwembwe
Ngoja wazoee ofisi [emoji1][emoji1]
Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
Nasema hivi, upinzani ndio unazikwa rasmi sasa kama huelewi muazime lissu akili akusaidie..wewe tukana upendavyo...Pumbaf wewe MATAGA watu wanafurahia kiongozi anavyofanya kazi kwa weledi na siyo mihemuko
Pole sana wewe ndumila kuwili na sasa labda nikusaidie jambo ambalo hulijui.Nasema hivi, upinzani ndio unazikwa rasmi sasa kama huelewi muazime lissu akili akusaidie..wewe tukana upendavyo...
Eti aliua upinzani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]JPM aliuua upinzani, rais Samia kaja kuuzika rasmi...
Kama ulikua hujua sasa wajua...
Hizo ni assumption zako mkuu.kumhukavni kwa miaka mitano mfululizo.korona imeafect mwaka mmoja kati ya mitano.samani na mifumo ya tehama inabadilishwa kila mwaka au unataka kusemaje.jiwe aliambiwa ndege huwa hazinunuliwi kwa cash.alifeli kwrnye mv bagamoyo kafeli kwenye ndrgekwa mazingira ya ATCL yalivyokuwa mwanzo hali ilikuwa mbaya zaidi.
Je tumeweza kujiuliza ATCL kabla ya hizi ndege ilikuwa inatengeneza hasara kiasi gani?
lakini ifahamike kuwa upo uwezekano walikuwa na variable cost nyingi kwa kuwa lilishashindwa kujiendesha.
pia tukumbuke matarajio mengine ya kipato yalitegemewa kutokana na safari za nje ambazo zilikufa kutokana na Korona wakati shirika lilishalipia vibari na kufanya promotion kwa safari hizi na hazikufanyika.
haya ni machache ambayo mimi kwa uelewa mdogo naweza kueleza japo yapo mengi tu ikiwemo ununuaji wa samani zinazoweza kufanana na huduma tarajiwa ikiwemo pia utengenezaji wa mifumo ya IT.
kwa hiyo ni sawa sana tu.