Ikulu, Dodoma: Makabidhiano ya Ripoti ya CAG - Machi 28, 2021

Ikulu, Dodoma: Makabidhiano ya Ripoti ya CAG - Machi 28, 2021

CAG aliyepita prof Assad alitoa ripoti mbaya ya ununuzi wa hizo ndege matokeo yake Ndungai akamvalia njuga hadi akatolewa, na Mara zote mkuu aliyepita alitangaza faida ya hizi ndege. Mkaguzi Kichere atuambie ni kweli hii ndiyo taarifa aliandaa kumpelekea JPM au ameiedit baada ya kugundua kuwa anaepelekewa siyo JPM tena.
Ame-edit.
 
CAG aliyepita prof Assad alitoa ripoti mbaya ya ununuzi wa hizo ndege matokeo yake Ndungai akamvalia njuga hadi akatolewa, na Mara zote mkuu aliyepita alitangaza faida ya hizi ndege. Mkaguzi Kichere atuambie ni kweli hii ndiyo taarifa aliandaa kumpelekea JPM au ameiedit baada ya kugundua kuwa anaepelekewa siyo JPM tena.
Yaani tulivyo shuhudia Prof. Assad alivyo furumishwa unceremonously kutoka ofisini, akawa humiliated further na Spika wa Bunge, one could sense kulikuwa kumejengeka uadui mkubwa baina ya Spika Ndugai, baadhi ya wabunge dhidi ya Prof. Assad wa watu.

Kilicho mponza Prof. Assad ni kusema ukweli bila ya kumungunya maneno, ni hicho tu na wala hakuna kingine.

Rai yangu kwa Mh. Rais S.S. Hassan, tafadhali mrudishe fasta Mzalendo wa kweli Prof. Assad kwenye wadhifa wa CAG, Prof. Assad ni jasiri sana, anajali sana ethics za kazi yake, aogopi kusema ukweli lets what comes may, ali-train ma auditors kwa kiwango cha juu, hana makuu na ni mvumilivu sana.

Tunayasema haya kwa nia njema tu, tunakuwa wakweli hapa ni hivi: Prof. Assad ndiye atakusaidia sana kuwashukia kama mwewe wezi na wabadhirifu walio kubuhu Serikalini na kwenye mashirika ya UMMA - mama huna haja ya kumkumbusha CAG kwamba awe muwazi zaidi - hiyo ndio kazi yake i.e to call a spade a spade na sio kuletewa report ambayo sehemu nyingine haiko transparent ikiwa ni mbinu za kutaka kuwalinda waharifu kiaina - please recall Prof. Assad.
 
Prof Asad aligeuka adui na Subwoofer alipewa kazi ya kufanya mpaka aondolewe leo nae yupo anapokea ripoti ya shirika la ndege kupata hasara sio mzalendo kabisa huyo...Kama shirika lilikua linapata faida hiyo gawio ilikua inatoa wapi?
 
Hakuna kampuni kubwa duniani itaongozwa bila hasara wafanyabiashara wanaelewa labda lengo ilikuwa ni faida ya billion 200 faida ikapatikana billion 140 hapo kuna hasara kwenye faida


Only wakalimani wachache wanaweza kuelewa hii kitu
 
da waliniondelea fastjet yangu nilikua najipandia tu kwa 45,50, 60 na 80 sasa iyo ATCL nauli kutoka dar to mwanza laki tatu na nusu economy lakini bado inatengeneza hasara daaa
 
Prof Asad aligeuka adui na ndugai alipewa kazi ya kufanya mpaka aondolewe leo nae yupo anapokea ripoti ya shirika la ndege kupata hasara sio mzalendo kabisa huyo...Kama shirika lilikua linapata faida hiyo gawio ilikua inatoa wapi?
Usitaje jina ww ule mzee huws namchek sasa subir mama apokee madudu kutoka pale ofis za bunge ndio watajua kwamba serikal ina mzizi mrefu na inaweza kuvunja bunge
 
Kuna huyu bibi yetu FaizaFoxy na yeye amerudi JF kwa sababu ya kipenzi chake Samia.
Amerudi kwa sababu yeye ni swala tano mwenzake!

Mitano tena!
Kama Faiza amerudi nimefurahi sana maana huwa siachi kujifunza kutoka kwake, anafundisha hadi sarufi ya lugha [emoji1787][emoji1787][emoji1787].

Kibwagizo chake huko shule mlienda kusomea ujinga.
 
Mama tumuunge mkono, tumuombee aunde upya Baraza lake, wakuu wa ofisi za umma Kama wale kina sabaya watimuliwe kazini.Ofisi za umma ziheshimiwe Sio kuweka watu wahuniwahuni
 
Sisi hatuharibu, sisi tunaenda kama anavyotaka aliye juu, si uliona tulivyofanya wakati wa JPM? Na mama tutaenda anavyotaka
 
Wacha unafiki wewe .
Hapo ulipo roho imefura kwa hasira .
Inabidi ukubali mabadiliko tu.

Ulizoea kuuza maneno ya fitina kwa jiwe
Hivi unadhani mama samia ni chadema/ACT? Au umehama chama?
 
Back
Top Bottom