Ikulu, Dodoma: Makabidhiano ya Ripoti ya CAG - Machi 28, 2021

Ikulu, Dodoma: Makabidhiano ya Ripoti ya CAG - Machi 28, 2021

CAG aliyepita prof Assad alitoa ripoti mbaya ya ununuzi wa hizo ndege matokeo yake Ndungai akamvalia njuga hadi akatolewa na Mara zote mkuu aliyepita alitangaza faida ya hizi ndege. Mkaguzi Kichere atuambie ni kweli hii ndiyo taarifa aliandaa kumpelekea JPM au ameiedit baada ya kugundua kuwa anaepelekewa siyo JPM tena.
Ameedit mkuu maana lazima angeng'olewa
 
Tukianzia hapo kwenye ndege ni uchafu mtupu. Ripoti ya CAG kwa mwaka 2019/2020 iliyotolewa jana inasema Kuna hasara ya Tsh 60 billion, na ikaongezea kuwa kwa miaka mitano shirika hilo limekuwa hasara kubwa sana meaning wakati pombe ikiwepo hakuwa na uwezo wa kutuambia madudu haya.
Nina imani na MAMA, noana tutapiga hatua
Hiyo ni hasaraATCL iliyopata kwa miaka mitano kujiendesha kwa hasara,ukiongeza na hela zilizonunulia hayo madege ambazo hazitarudi,ni hasara juu ya hasara.

Kama nilisikiasikia kuna mengine yalikuwa yanakuja mwaka huu.
 
Hakuna kampuni kubwa duniani itaongozwa bila hasara wafanyabiashara wanaelewa labda lengo ilikuwa ni faida ya billion 200 faida ikapatikana billion 140 hapo kuna hasara kwenye faida....
Kweli kabisa wewe ni zombi
 
Kikawaida CAG husoma taarifa fupi ya ripoti yake na kisha kumkabidhi Rais Vitabu vya ripoti.

Safari hii imekuwa tofauti kidogo CAG Kichere wakati akisoma taarifa yake alimwambia Rais Samia kwamba atamkabidhi kitabu kingine "kidogo" na kumuomba akisome kwa umakini mkubwa.

Nadhani hiki kitabu kidogo kitakuwa kimesheheni nondo za uhakika.

Mungu ni mwema wakati wote!
 
download (4)_1.jpeg
 
Hichi kitabu kiuhusiwe kichapishwe Magazetini baada ya Mama kukupitia

Wanyonge wanatakiwa wayajutie machozi yao bora wangeyaacha mwilini ili angalao yangetengeneza mkojo ili kusafisha Sumu mwilini
 
Kikawaida CAG husoma taarifa fupi ya ripoti yake na kisha kumkabidhi Rais Vitabu vya ripoti.

Safari hii imekuwa tofauti kidogo CAG Kichere wakati akisoma taarifa yake alimwambia Rais Samia kwamba atamkabidhi kitabu kingine "kidogo" na kumuomba akisome kwa umakini mkubwa.

Nadhani hiki kitabu kidogo kitakuwa kimesheheni nondo za uhakika.

Mungu ni mwema wakati wote!
Ni balaa!
 
Back
Top Bottom