Ikulu: Hafla ya jioni marais wa Tanzania na Malawi

Ikulu: Hafla ya jioni marais wa Tanzania na Malawi

USSR

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
12,213
Reaction score
28,916
​

Kwa sasa anayeongea ni Rais Magufuli pia namuona Kikwete anaimbiwa wimbo wa kuzaliwa live.

Ukumbi umejaa marais wastaafu ni furaha hapa.

Mikataba kadhaa inatazamiwa kupitishwa.

Maendeleo hayana vyama...
 
Lugha lugha nakutaja tena lughaaa daaa
 
Inapendeza sana kwa kweli kuona jinsi nchi yetu tunavyopendana na tunavyoishi kwa upendo baina yetu sisi wenyewe na majirani zetu ni ujumbe mzito sana umetumwa. Namuombea ushindi mnono Mh Magufuli na chama chake CCM.Watanzania bado tuna imani nanyi.
 
Tafuta hela wacha kushabikia usivyovijua.
 
Hii lugha imemfanya huyu mgombea ubunge wa Tanga mjini kujisikitikia 😔, yaani kadiri jamaa anavyoongea unaona huyu mama anavyoomba asikosee.

But angalia hiyo clip umuone Jakaya anavyo hisi 😁.

Screenshot_20201008_165007.jpg
 
Back
Top Bottom