maatope Wema sepetu(22) ....sijakuelewa hapa? Usipende kuvuta Bange na mbegu zake,badala ya kusokotea kwenye Rizla wewe wanyongea gazeti la KIU,badala ya kuchanganya na sigara kali au dry wewe unamix na Sweet Menthol (SM)..nitarudi baadae

Profesa kikwete mwenyewe alisema Diamond ndiye mwanamuziki bora afrika, yes hapo hakuna cha Baaba mali, Youssou N dour, angelique Kidjo, Khadija Niin, wote hawamfikii msanii mkali ambaye hajawahi kutokea kwenye historia ya Afrika.
Sasa huyu kijana Diamond katengana na demu amabye ndiye mrembo kuliko wote afrika,miss Wema sepetu(22).
Je, mheshimiwa Rais huoni ni wakati muafaka wa kuwaita ikulu na kuwapatanisha vijana hawa wanaolitangaza vizuri jina la nchi yetu tena wakiwa ni role models wa teenagers?
maatope Wema sepetu(22) ....sijakuelewa hapa? Usipende kuvuta Bange na mbegu zake,badala ya kusokotea kwenye Rizla wewe wanyongea gazeti la KIU,badala ya kuchanganya na sigara kali au dry wewe unamix na Sweet Menthol (SM)..nitarudi baadae
Cheka unenepe mtani........Dogo anazinguaU made my day tehetehe
U made my day tehetehe
Profesa Kikwete mwenyewe alisema Diamond ndiye mwanamuziki bora Afrika! Yes, hapo hakuna cha Baaba mali, Youssou N dour, Angelique Kidjo, Khadija Niin, wote hawamfikii msanii mkali ambaye hajawahi kutokea kwenye historia ya Afrika.
Sasa huyu kijana Diamond katengana na demu ambaye ndiye mrembo kuliko wote Afrika, Miss Wema Sepetu (22).