maatope
JF-Expert Member
- Sep 19, 2013
- 1,422
- 957
Profesa Kikwete mwenyewe alisema Diamond ndiye mwanamuziki bora Afrika! Yes, hapo hakuna cha Baaba mali, Youssou N dour, Angelique Kidjo, Khadija Niin, wote hawamfikii msanii mkali ambaye hajawahi kutokea kwenye historia ya Afrika.
Sasa huyu kijana Diamond katengana na demu ambaye ndiye mrembo kuliko wote Afrika, Miss Wema Sepetu (22).
Je, mheshimiwa Rais huoni ni wakati muafaka wa kuwaita ikulu na kuwapatanisha vijana hawa wanaolitangaza vizuri jina la nchi yetu tena wakiwa ni role models wa teenagers?