maatope Wema sepetu(22) ....sijakuelewa hapa? Usipende kuvuta Bange na mbegu zake,badala ya kusokotea kwenye Rizla wewe wanyongea gazeti la KIU,badala ya kuchanganya na sigara kali au dry wewe unamix na Sweet Menthol (SM)..nitarudi baadae
Maatope ushaanza...Ndo viroba vya Malawi au?
Mkuu wengine tulijifanya wastaafu wa hii kitu naona unafanya campaign ya kunirudisha kiaina ukitilia maanani kustaafu kwenyewe kumekuja baada ya kumpata shemeji yenu mnoko na vitoto ninavyopaswa kuwa mfano bora kwao!Ungewek na haka kapicha
maatope Wema sepetu(22) ....sijakuelewa hapa? Usipende kuvuta Bange na mbegu zake,badala ya kusokotea kwenye Rizla wewe wanyongea gazeti la KIU,badala ya kuchanganya na sigara kali au dry wewe unamix na Sweet Menthol (SM)..nitarudi baadae
Acha tu Mtani....Choo chenyewe cha uswazi maji ya kutawazia ndio hayohayo yatumike kusukuma mzigo baharini/chembani......too bad ukute na dirisha hakina lazima uje na thread za ki-mav* mavi mpwa....Hivi hii burudani kumbe ni wine? naona vijana wanazifakamia mtaani kwangu nikawa najua ni sunvita au juiceHalafu kuvutia chooni kisha kushushia na burudani wine lazima ajione yeye ni philosopher kuliko Plato
Profesa Kikwete mwenyewe alisema Diamond ndiye mwanamuziki bora Afrika! Yes, hapo hakuna cha Baaba mali, Youssou N dour, Angelique Kidjo, Khadija Niin, wote hawamfikii msanii mkali ambaye hajawahi kutokea kwenye historia ya Afrika.
Sasa huyu kijana Diamond katengana na demu ambaye ndiye mrembo kuliko wote Afrika, Miss Wema Sepetu (22).
Je, mheshimiwa Rais huoni ni wakati muafaka wa kuwaita ikulu na kuwapatanisha vijana hawa wanaolitangaza vizuri jina la nchi yetu tena wakiwa ni role models wa teenagers?