Ikulu imefanikiwa kudhibiti kabisa uvujaji wa taarifa zote nyeti na za siri

Kwani ikulu ni Mali ya mtu binafsi hadi wafanye mambo Kwa Siri?kwani nchi ni ya mtu binafsi Hadi wananchi ambao ndiyo wenye Nchi wafichwe yanayofanywa na viongozi?Ikulu inayoficha taarifa ili wananchi ambao ndiyo wenye Nchi, ujue hiyo Nchi inaongozwa na wahuni na hawafai kabisa kupewa ofisi za umma
 
Lucas huna akili kabisa hiki unachofanya hapa jukwaani kinakuvua nguo japo kwa ukosefu wako wa akili unajiona unafanya jambo la maana. Wewe ni zero brain kabisa.
Tangia lini na wewe umekuwa na akili mpaka ya kuweza kujadili hoja? Hivi na wewe hapo hapo unajiona upo sawa na watu wengine wenye akili timamu? Wewe kwako ni hospitalini huko
 
Lile la kuumwa kalireta nani ?? Au abdul ???..............
 
ENzi za Nyerere kulikuwa na kina Lyimo.....aisee IKULU palikuwa panatisha....kwanza utaanzaje kuleta mambo ya kisaniii
 
Headline hiyo mhu! How sure are you? Wakati tunasikia pia baadhi ya wadau mbalimbali wakisema 'kwa taarifa za ndani nilizozipata kwa wahusika wenyewe' mambo yako ABC. Mtaani tunakaa na watu kutoka idara mbalimbali na mkiwa peke yenu utasikia "nikuibie siri...ABC." Upo hapo?
 
Itakuwa huwa unakutana na wambeya wenzako mliozoea kupiga umbeya kutokama na uvivu wenu wa kufanya kazi
 
Kama imefanikiwa serikali ituambie wadhifa wa LUCAS MWASHAMBWA serikalini.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…