Jenga hoja, usinishambulie. Wewe unayefanya kazi twambie, in all truth (na kusema uwongo kwako ni mwiko), siri zinavuja au hazivuji?Itakuwa huwa unakutana na wambeya wenzako mliozoea kupiga umbeya kutokama na uvivu wenu wa kufanya kazi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jenga hoja, usinishambulie. Wewe unayefanya kazi twambie, in all truth (na kusema uwongo kwako ni mwiko), siri zinavuja au hazivuji?Itakuwa huwa unakutana na wambeya wenzako mliozoea kupiga umbeya kutokama na uvivu wenu wa kufanya kazi
Hujawahi kumiliki akili wewe ni sawa na kuku aliyekatwa kichwa kisha akaachwa aruke ruke hadi ajifie. Limepata hasara tumbo la bimkubwa aliyekubeba kwa miezi sita akiamini amezaa mtoto kumbe ametoa takataka tuTangia lini na wewe umekuwa na akili mpaka ya kuweza kujadili hoja? Hivi na wewe hapo hapo unajiona upo sawa na watu wengine wenye akili timamu? Wewe kwako ni hospitalini huko
Siri hazivuji.Jenga hoja, usinishambulie. Wewe unayefanya kazi twambie, in all truth (na kusema uwongo kwako ni mwiko), siri zinavuja au hazivuji?
Acha kuongea vitu pasipo ushahidiNchi yenu daraja la kupeleka Silaha Congo.
Muda utaongea.
Kama kinachofanywa huko ndani ni sahihi, halali na kwa maslahi ya nchi siri ni za nini?! Nchi nzima ikiwemo ikulu siyo mali ya mtu binafsi au kikundi cha watu, ni ya umma.Siyo kweli. ni lazima tuseme ukweli kuwa ikulu Imefanikiwa kwa kiasi kikubwa na kikamilifu kabisa kidhibiti uvujaji wa siri na taarifa nyeti za Ikulu
Kumbe kulikuwa na taarifa zinavuja???Ndugu zangu Watanzania,
Napenda niwaambieni ya kuwa Ikulu ni jumba moja kubwa sana lenye kila aina ya watu,idara na viongozi mbalimbali nyeti ambao wengine inawezekana kabisa hawajawahi kuonekana wala kuonyesha sura zao katika macho ya watanzania au kunaswa na Camera ya aina yoyote ile.
Ikulu ni mahali ambapo ndipo Makazi Rasmi ya Rais na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na usalama.ndipo akaapo Raia nambari Moja ambaye yeye ndiye kila mtanzania humuangalia yeye na mahali ambapo taarifa zote za siri na nyeti hufikia na kutua hapo na kuchakatwa kila uchao kutoka ndani na nje ya Nchi.
Ni mahali ambapo maamuzi yote makubwa huanzia na kutolewa hapo,ni mahali ambapo macho ya vyombo vyote vya ulinzi na idara zake zote huelekeza macho yake.ni mahali ambapo ndio hutoa taswira ya Nchi na muelekeo wake, ni mahali ambapo ndio msingi wa kila kitu tukionacho hapa Nchini, ni mahali ambapo teuzi zote nyeti na kwa watu wote huchakatwa hapo na kutikisa vichwa ili hatimaye yasifanyike makosa ya kiufundi.
Ni mahali penye kioo chenye kuonyesha Tanzania yote na kujua kila kitu kinachoendelea mahali popote pale Tanzania,ni mahali ambapo hata ukizungumza jambo lolote lile bar litafika na kuonekana katika kioo cha Ikulu. Ni mahali penye mlolongo mrefu sana na wa kila aina ya watu na vyeo na majukumu yao na idara zao katika kukamilisha muundo mzima wa ikulu na taasisi ya Urais.
Hivyo basi Ukiona Jengo kama lile na taasisi ya Urais yenye watu mbalimbali na wa kila aina kutoka makabila mbalimbali. wanafanikiwa kudhibiti kabisa uvujaji wa siri na taarifa nyeti kwenda kwa watu ,.basi ujuwe mahali hapo ni salama sana.
Ukiona Rais wa Nchi tena anayependwa na wananchi wake na kuulizwa na watu hata asipoonekana hadharani kwa siku moja kama ilivyo kwa Rais Samia.lakini taarifa zake za wapi alipo zaidi ya wiki moja pasipo kuonekana hadharani kuwa siri.basi Ujuwe kuwa Rais ni salama sana na anawatu makini sana waliomzunguka na wenye kuzingatia viapo vyao kikamilifu.
Hii Maana yake ni kuwa Rais amezungukwa na watu sahihi,makini,wenye kuzingatia viapo vyao, waadilifu,waaminifu wa kiwango cha juu, wazalendo na waliotayari kufia viapo vyao pasipo kukiuka na kusaliti viapo vyao. Hii Maana yake ni kuwa Rais wetu yupo salama wakati wote na katika mzunguko wa watu waaminifu na wenye upendo wa dhati kabisa kwake na Taifa letu.
Hii maana yake ni kuwa Rais wetu anakubalika sana katika idara zote na kwa watu wote , anapendwa sana na amekidhi matarajio ya watu na ndio maana ya kuaminika na watu kuwa wazalendo.Maana kama ingekuwa tofauti ungekuwa ukiona uvujaji wa taarifa juu ya wapi aliko Rais. Watu wenye chuki binafsi au kutumiwa na watu wangevujisha siri.
Lakini sote ni mashuhuda tuliona namna ambavyo taarifa zilibakia kuwa siri mpaka RAIS wetu mpendwa alipotokea hadharani kikomandoo na kuifanya Nchi yote kulipuka kwa shangwe, nderemo,vifijo na kutamalaki kwa tabasamu, furaha na vicheko vya furaha katika nyuso za Watanzania.
Huku wale wapiga Ramli na mashetani wakubwa wafanyao kazi ya uwakala wa shetani wakishikwa na aibu kuu na kubakia Kama mahayawani tu yasiyojitambua. Umbea, uzushi na uongo wao ukafa kifo cha aibu na fedheha kubwa sana.
Rais wetu kipenzi akatokeza akiwa mwingi wa tabasamu, kikakavu, kishupavu, kihodari Utafikiri wale makomandoo waliokwenda mpaka pakstani kupambana na Osama bin laden na kummaliza kikomandoo ndani ya dakika chache sana.
Napenda kusema kuwa wale Wenye chuki binafsi na Rais Samia watakufa kwa presha mwaka huu.Huyu Mama ni chaguo la Mungu mwenyewe na ni mpango wake Mungu mwenyewe kufika hapo alipo fika. Rais Samia ataishi zaidi ya karne Moja hapa Duniani kwa Uweza wa Mwenyezi Mungu mwenyewe huku akiwa mwenye afya njema na nguvu kimwili na kiakili.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Anawapendeni Sanaaaa watanzania . ndio Maana anafanya kazi usiku na mchana kwa ajili ya kuwapa tabasamu watanzania.Kumbe kulikuwa na taarifa zinavuja???
Duuuu hii hatari sanaaa, Mama Abdul mwenyewe anasemaje??😃😀😃😀
Hivi kulikuwa na taarifa zinavuja toka Ikulu??😀😃😀😃Anawapendeni Sanaaaa watanzania . ndio Maana anafanya kazi usiku na mchana kwa ajili ya kuwapa tabasamu watanzania.
Ndugu msemaji anasema zimekoma kuvuja.Bado haijafanikiwa kihivyo, zinavuja ila haziwafikii baadhi ya watu
Ndugu zangu Watanzania,
Napenda niwaambieni ya kuwa Ikulu ni jumba moja kubwa sana lenye kila aina ya watu,idara na viongozi mbalimbali nyeti ambao wengine inawezekana kabisa hawajawahi kuonekana wala kuonyesha sura zao katika macho ya watanzania au kunaswa na Camera ya aina yoyote ile.
Ikulu ni mahali ambapo ndipo Makazi Rasmi ya Rais na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na usalama.ndipo akaapo Raia nambari Moja ambaye yeye ndiye kila mtanzania humuangalia yeye na mahali ambapo taarifa zote za siri na nyeti hufikia na kutua hapo na kuchakatwa kila uchao kutoka ndani na nje ya Nchi.
Ni mahali ambapo maamuzi yote makubwa huanzia na kutolewa hapo,ni mahali ambapo macho ya vyombo vyote vya ulinzi na idara zake zote huelekeza macho yake.ni mahali ambapo ndio hutoa taswira ya Nchi na muelekeo wake, ni mahali ambapo ndio msingi wa kila kitu tukionacho hapa Nchini, ni mahali ambapo teuzi zote nyeti na kwa watu wote huchakatwa hapo na kutikisa vichwa ili hatimaye yasifanyike makosa ya kiufundi.
Ni mahali penye kioo chenye kuonyesha Tanzania yote na kujua kila kitu kinachoendelea mahali popote pale Tanzania,ni mahali ambapo hata ukizungumza jambo lolote lile bar litafika na kuonekana katika kioo cha Ikulu. Ni mahali penye mlolongo mrefu sana na wa kila aina ya watu na vyeo na majukumu yao na idara zao katika kukamilisha muundo mzima wa ikulu na taasisi ya Urais.
Hivyo basi Ukiona Jengo kama lile na taasisi ya Urais yenye watu mbalimbali na wa kila aina kutoka makabila mbalimbali. wanafanikiwa kudhibiti kabisa uvujaji wa siri na taarifa nyeti kwenda kwa watu ,.basi ujuwe mahali hapo ni salama sana.
Ukiona Rais wa Nchi tena anayependwa na wananchi wake na kuulizwa na watu hata asipoonekana hadharani kwa siku moja kama ilivyo kwa Rais Samia.lakini taarifa zake za wapi alipo zaidi ya wiki moja pasipo kuonekana hadharani kuwa siri.basi Ujuwe kuwa Rais ni salama sana na anawatu makini sana waliomzunguka na wenye kuzingatia viapo vyao kikamilifu.
Hii Maana yake ni kuwa Rais amezungukwa na watu sahihi,makini,wenye kuzingatia viapo vyao, waadilifu,waaminifu wa kiwango cha juu, wazalendo na waliotayari kufia viapo vyao pasipo kukiuka na kusaliti viapo vyao. Hii Maana yake ni kuwa Rais wetu yupo salama wakati wote na katika mzunguko wa watu waaminifu na wenye upendo wa dhati kabisa kwake na Taifa letu.
Hii maana yake ni kuwa Rais wetu anakubalika sana katika idara zote na kwa watu wote , anapendwa sana na amekidhi matarajio ya watu na ndio maana ya kuaminika na watu kuwa wazalendo.Maana kama ingekuwa tofauti ungekuwa ukiona uvujaji wa taarifa juu ya wapi aliko Rais. Watu wenye chuki binafsi au kutumiwa na watu wangevujisha siri.
Lakini sote ni mashuhuda tuliona namna ambavyo taarifa zilibakia kuwa siri mpaka RAIS wetu mpendwa alipotokea hadharani kikomandoo na kuifanya Nchi yote kulipuka kwa shangwe, nderemo,vifijo na kutamalaki kwa tabasamu, furaha na vicheko vya furaha katika nyuso za Watanzania.
Huku wale wapiga Ramli na mashetani wakubwa wafanyao kazi ya uwakala wa shetani wakishikwa na aibu kuu na kubakia Kama mahayawani tu yasiyojitambua. Umbea, uzushi na uongo wao ukafa kifo cha aibu na fedheha kubwa sana.
Rais wetu kipenzi akatokeza akiwa mwingi wa tabasamu, kikakavu, kishupavu, kihodari Utafikiri wale makomandoo waliokwenda mpaka pakstani kupambana na Osama bin laden na kummaliza kikomandoo ndani ya dakika chache sana.
Napenda kusema kuwa wale Wenye chuki binafsi na Rais Samia watakufa kwa presha mwaka huu.Huyu Mama ni chaguo la Mungu mwenyewe na ni mpango wake Mungu mwenyewe kufika hapo alipo fika. Rais Samia ataishi zaidi ya karne Moja hapa Duniani kwa Uweza wa Mwenyezi Mungu mwenyewe huku akiwa mwenye afya njema na nguvu kimwili na kiakili.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Uwezo wangu ni mara 5 ya uwezo wako Lucas, I swearHoja ipo juu ya uwezo wako Embu kaa pembeni huko.
Screenshot nilichoandika siku chache zijazo ....utajua hujui.Acha kuongea vitu pasipo ushahidi
Kikomo cha juu cha uwezo wako wa kufikiri ni kidogo sana ambacho huwezi kunifikia hata robo.Uwezo wangu ni mara 5 ya uwezo wako Lucas, I swear
Hivi wewe Huwa unalipwa Nini?? Kwa hivi VICHEKESHO ambayo una post kila siku hapa JF??🤔🤔🤔Kikomo cha juu cha uwezo wako wa kufikiri ni kidogo sana ambacho huwezi kunifikia hata robo.
Huwezi ukaelewa maana uwezo wako bado ni ndogo sana.Hivi wewe Huwa unalipwa Nini?? Kwa hivi VICHEKESHO ambayo una post kila siku hapa JF??🤔🤔🤔
Sawa. Ukisema "siri hazivuji" ina maana hakuna zinazovuja? Kuna sehemu niliona bahasha ya khaki imepigwa mhuri na maneno yalisomeka "Ni siri, usifungue." Ila ilikuwa imefunguliwa na ndani kulikuwa hakuna kitu. Sasa sijui siri ibaki au ilitoka/vuja?Siri hazivuji.
'Huku wale wapiga Ramli na mashetani wakubwa wafanyao kazi ya uwakala wa shetani wakishikwa na aibu kuu na kubakia Kama mahayawani tu yasiyojitambua. Umbea, uzushi na uongo wao ukafa kifo cha aibu na fedheha kubwa sana'. MARIA SARUNGI NA GENGE LAKE WAMEPATA AIBU YA MWAKA' Ni watu wabaya wanaoombea wenzoo mabaya utadhani wao hawatakufa. Hawa ni 'ahlul shaitwan'. laanatullah !Ndugu zangu Watanzania,
Napenda niwaambieni ya kuwa Ikulu ni jumba moja kubwa sana lenye kila aina ya watu,idara na viongozi mbalimbali nyeti ambao wengine inawezekana kabisa hawajawahi kuonekana wala kuonyesha sura zao katika macho ya watanzania au kunaswa na Camera ya aina yoyote ile.
Ikulu ni mahali ambapo ndipo Makazi Rasmi ya Rais na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na usalama.ndipo akaapo Raia nambari Moja ambaye yeye ndiye kila mtanzania humuangalia yeye na mahali ambapo taarifa zote za siri na nyeti hufikia na kutua hapo na kuchakatwa kila uchao kutoka ndani na nje ya Nchi.
Ni mahali ambapo maamuzi yote makubwa huanzia na kutolewa hapo,ni mahali ambapo macho ya vyombo vyote vya ulinzi na idara zake zote huelekeza macho yake.ni mahali ambapo ndio hutoa taswira ya Nchi na muelekeo wake, ni mahali ambapo ndio msingi wa kila kitu tukionacho hapa Nchini, ni mahali ambapo teuzi zote nyeti na kwa watu wote huchakatwa hapo na kutikisa vichwa ili hatimaye yasifanyike makosa ya kiufundi.
Ni mahali penye kioo chenye kuonyesha Tanzania yote na kujua kila kitu kinachoendelea mahali popote pale Tanzania,ni mahali ambapo hata ukizungumza jambo lolote lile bar litafika na kuonekana katika kioo cha Ikulu. Ni mahali penye mlolongo mrefu sana na wa kila aina ya watu na vyeo na majukumu yao na idara zao katika kukamilisha muundo mzima wa ikulu na taasisi ya Urais.
Hivyo basi Ukiona Jengo kama lile na taasisi ya Urais yenye watu mbalimbali na wa kila aina kutoka makabila mbalimbali. wanafanikiwa kudhibiti kabisa uvujaji wa siri na taarifa nyeti kwenda kwa watu ,.basi ujuwe mahali hapo ni salama sana.
Ukiona Rais wa Nchi tena anayependwa na wananchi wake na kuulizwa na watu hata asipoonekana hadharani kwa siku moja kama ilivyo kwa Rais Samia.lakini taarifa zake za wapi alipo zaidi ya wiki moja pasipo kuonekana hadharani kuwa siri.basi Ujuwe kuwa Rais ni salama sana na anawatu makini sana waliomzunguka na wenye kuzingatia viapo vyao kikamilifu.
Hii Maana yake ni kuwa Rais amezungukwa na watu sahihi,makini,wenye kuzingatia viapo vyao, waadilifu,waaminifu wa kiwango cha juu, wazalendo na waliotayari kufia viapo vyao pasipo kukiuka na kusaliti viapo vyao. Hii Maana yake ni kuwa Rais wetu yupo salama wakati wote na katika mzunguko wa watu waaminifu na wenye upendo wa dhati kabisa kwake na Taifa letu.
Hii maana yake ni kuwa Rais wetu anakubalika sana katika idara zote na kwa watu wote , anapendwa sana na amekidhi matarajio ya watu na ndio maana ya kuaminika na watu kuwa wazalendo.Maana kama ingekuwa tofauti ungekuwa ukiona uvujaji wa taarifa juu ya wapi aliko Rais. Watu wenye chuki binafsi au kutumiwa na watu wangevujisha siri.
Lakini sote ni mashuhuda tuliona namna ambavyo taarifa zilibakia kuwa siri mpaka RAIS wetu mpendwa alipotokea hadharani kikomandoo na kuifanya Nchi yote kulipuka kwa shangwe, nderemo,vifijo na kutamalaki kwa tabasamu, furaha na vicheko vya furaha katika nyuso za Watanzania.
Huku wale wapiga Ramli na mashetani wakubwa wafanyao kazi ya uwakala wa shetani wakishikwa na aibu kuu na kubakia Kama mahayawani tu yasiyojitambua. Umbea, uzushi na uongo wao ukafa kifo cha aibu na fedheha kubwa sana.
Rais wetu kipenzi akatokeza akiwa mwingi wa tabasamu, kikakavu, kishupavu, kihodari Utafikiri wale makomandoo waliokwenda mpaka pakstani kupambana na Osama bin laden na kummaliza kikomandoo ndani ya dakika chache sana.
Napenda kusema kuwa wale Wenye chuki binafsi na Rais Samia watakufa kwa presha mwaka huu.Huyu Mama ni chaguo la Mungu mwenyewe na ni mpango wake Mungu mwenyewe kufika hapo alipo fika. Rais Samia ataishi zaidi ya karne Moja hapa Duniani kwa Uweza wa Mwenyezi Mungu mwenyewe huku akiwa mwenye afya njema na nguvu kimwili na kiakili.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Mdogo wa kuchambua vitu!!! Manake Toka uanze kuposti sijaona kitu tangible zaidi ya UHARO!!Huwezi ukaelewa maana uwezo wako bado ni ndogo sana.
Sasa umekuja kujigamba huku ili iweje chawa bana na shida, Kila uppuzi kwao ni habariSiyo kweli. ni lazima tuseme ukweli kuwa ikulu Imefanikiwa kwa kiasi kikubwa na kikamilifu kabisa kidhibiti uvujaji wa siri na taarifa nyeti za Ikulu