Ikulu imefanikiwa kudhibiti kabisa uvujaji wa taarifa zote nyeti na za siri

Tangia lini na wewe umekuwa na akili mpaka ya kuweza kujadili hoja? Hivi na wewe hapo hapo unajiona upo sawa na watu wengine wenye akili timamu? Wewe kwako ni hospitalini huko
Hujawahi kumiliki akili wewe ni sawa na kuku aliyekatwa kichwa kisha akaachwa aruke ruke hadi ajifie. Limepata hasara tumbo la bimkubwa aliyekubeba kwa miezi sita akiamini amezaa mtoto kumbe ametoa takataka tu
 
Siyo kweli. ni lazima tuseme ukweli kuwa ikulu Imefanikiwa kwa kiasi kikubwa na kikamilifu kabisa kidhibiti uvujaji wa siri na taarifa nyeti za Ikulu
Kama kinachofanywa huko ndani ni sahihi, halali na kwa maslahi ya nchi siri ni za nini?! Nchi nzima ikiwemo ikulu siyo mali ya mtu binafsi au kikundi cha watu, ni ya umma.

Ukiona wanaficha sana mambo na kuyafanya "siri" maana yake kuna uhalifu unatendeka humo.

Mwisho zinakuja kuibuka kashfa kama zile za Richmond, EPA, Tegeta Esrow, nk au uuzwaji kiholela wa raslimali za umma kifisadi kwa Mabeberu, Waarabu, nk..
 
Kumbe kulikuwa na taarifa zinavuja???

Duuuu hii hatari sanaaa, Mama Abdul mwenyewe anasemaje??πŸ˜ƒπŸ˜€πŸ˜ƒπŸ˜€
 


Pengine waliopo huko ndani ndo walikuwa wanavujisha siri
 
Siri hazivuji.
Sawa. Ukisema "siri hazivuji" ina maana hakuna zinazovuja? Kuna sehemu niliona bahasha ya khaki imepigwa mhuri na maneno yalisomeka "Ni siri, usifungue." Ila ilikuwa imefunguliwa na ndani kulikuwa hakuna kitu. Sasa sijui siri ibaki au ilitoka/vuja?
 
'Huku wale wapiga Ramli na mashetani wakubwa wafanyao kazi ya uwakala wa shetani wakishikwa na aibu kuu na kubakia Kama mahayawani tu yasiyojitambua. Umbea, uzushi na uongo wao ukafa kifo cha aibu na fedheha kubwa sana'. MARIA SARUNGI NA GENGE LAKE WAMEPATA AIBU YA MWAKA' Ni watu wabaya wanaoombea wenzoo mabaya utadhani wao hawatakufa. Hawa ni 'ahlul shaitwan'. laanatullah !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…