Ikulu imefanikiwa kudhibiti kabisa uvujaji wa taarifa zote nyeti na za siri

Nchi ambayo raisi anaweza Kuuza bandari na asifanywe kitu
 
Wewe ni msemaji wa Ikulu.....
 
Pasipo kuzingatia hoja za wapinzani wako, nongwa na hata jazba, Mimi nimependa uandishi wako. Wale wenye ABC ya taaluma ya uandishi haswa katika Enzi hii na era ya Vijana wasioweza kuandika sentensi Moja iliyo sahihi kisarufi, kisemantiki na kimaana.

Uandishi huu uliokitendea Haki kiswahili ungemfanya msomaji asinzie kana kwamba askiza mziki wa Blues. 😛🙌 Hongera comrade.
 
Inawezekana tangu tupate uhuru Kuna wakati taarifa zilivuja hata kama sio sasa. Au hata kama hazijawahi kuvuja lucas ni kama whistler kuweka wahusika active ktk Hilo.
 
Ah kwaiyo sasahivi mnajisainia tu mikataba kwa uhuru humo ikuluni mkidhani mmeumaliza mfumo wa wavujisha taarifa?

Hakunaga siri, mambo na upuuzi mnayoyafanya mkidhani hamuonekani, ipo siku mtayaweka wazi wenyewe iwe kwa kulopoka ama viongozi wapya wataibua upuuzi wenu mnaoufanya huko gizani.

Hii ndio serikali dhaifu kuliko yoyote ile tangu tupate uhuru.

Ni mjinga na mshenzi anaeweza kuutetea uongozi huu wa...... niishie hapa
 
Taifa lipo katika mikono salama ya mzalendo wa kweli na dhati Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan
 

Mbona utekaji waziwazi, utenguaji waziwazi siri gani hizo
 
MITANO TENA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…