IKULU mawasiliano inahitaji data analyst and propagandist, sio mwanahabari otherwise Rais atabadili sana. Mchukueni David Kafulila

IKULU mawasiliano inahitaji data analyst and propagandist, sio mwanahabari otherwise Rais atabadili sana. Mchukueni David Kafulila

..Ikulu ni ofisi ya umma.

..Haipaswi kufanya propaganda za aina yoyote.

..Ikulu inapaswa kufanya kazi kwa ufanisi, weledi, na kuzingatia utawala bora.
Unamkumbuka Msemaji wa IKULU ya Sadam Hussein?
 
Sio tu Kafulila anafaa kwa nafasi hiyo bali jamaa ni kiraka. Binafsi David Kafulila ni one of my role models…

Jamaa hata nafasi ya PM anaimudu, sababu kuwa leader ni zaidi ya weledi bali lqzima pia uwe political strategist.
 
Watanzania tuheshimu taaluma za wengine.
Mkurugenzi wa Mawasiliano ni mshauri wa rais wa mambo ya habari.
Kitaaluma anatakiwa kuwa mwandishi wa habari.
Haiwezekani kuokoteza watu wa taaluma nyingine kufanya interview na CNN nk, kwa niaba ya rais.
Kafulila aendelee na majukumu yake.
Kazi ya habari tuwaachie wana habari.
Kwa hiyo kwa akili yako unafikiri Mheshimiwa Kafulila atashindwa kufanya mahojiano na CNN
 
Sasa hii ni nini, Ila vijana wa bongo ni wajinga sana,
Mbona huyo mtu comment zote anaweka wazi kuwa yeye ni mshabaki wa Kafulila, Huyu CM 1774858 mbona huko hapa muda mrefu na ni mtu anamwandika zaidi Mama Samia na zamani Shaka Hamdu Shaka.
Nimefuatilia nyuzi zake tangu kitambo
 
Joined May 29. Mnalipwa kiasi gani kwenye uchawa uko?
 
Unamkumbuka Msemaji wa IKULU ya Sadam Hussein?

..Namkumbuka.

..Propaganda ni uongo wa watawala dhidi ya wananchi.

..kwasababu IKULU ni ofisi ya umma, basi haipaswi kuwa na watumishi waongo-waongo dhidi ya wananchi.

..Tuwatake watumishi wa Ikulu wawe waadilifu, na wachapakazi. Taifa linawalipa mishahara mizuri hivyo tunastahili utumishi uliotukuka toka kwao.
 
Back
Top Bottom