tonicimmobility
JF-Expert Member
- Jun 17, 2025
- 493
- 1,040
Ikulu mawasiliano wanaendelea ku-update kinachoendelea kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM,
Swali la kujiuliza Ikulu ni mali ya serikali au ni mali ya CCM?
Je watapost kampeni za vyama vyote? Maana kwa sasa ikulu haina mwenyewe, kwanini iwe inapost kampeni za CCM? Watanzania hadi haya pia hamuoni?
Soma pia: Hata Enzi za chama kimoja Nyerere alifanya Kampeni ili kupata Ushindi wa 99%, hivyo ni muhimu hata sasa CCM kufanya Kampeni za nguvu!
Ikulu mawasiliano inaandika inasema
Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wakati wa uzinduzi wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama cha Mapinduzi (CCM) katika viwanja vya Tanganyika Packers Jijini Dar es Salaam tarehe 28 Agosti, 2025.