IKULU: Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkuu wa Wilaya ya Rufiji

Hiyo Wilaya magari yote mabovu, Mkuu wa Wilaya hana gari, Mkurugenzi Hana gari, DAs hana hana gari.

Sijui kosa la nani hapo.
Kila mwezi wanapata 1.8 billion
Ndio Mana kapelekwa mwanajeshi,huwa hawarembi
 
Kura yangu naiweka kwa Mpenda Maendeleo Namba 1 duniani. Tumeona Ndege 8, flyover, SGR na Stiglers Gorge.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…