kantasundwa
JF-Expert Member
- May 25, 2020
- 1,548
- 2,384
Nilikuwa kwenye ujenzi wa chama , akanitaka nifike ofcn kwake nikakuta yuko na mkurugenzi wa wilaya na afisa usalama wa wilaya ...wakanitisha sana sana lkn nikawaambia sioni tatizo wala kosa mm kuijenga chadema ndani ya rufiji..bc nikaondoka zangu kuendelea na chadema ni msingi hadi nikamaliza zoezi japo waliniambia wangenipa kesi ya uwindaji haramuAlikusumbua wakati unafanya shughuli za 'kichama'? Au wewe ni mpinzani?