Wakati tunaelekea kwenye uchaguzi wa 2005 ilikuwa si siri kuwa RA ni mtu mwenye nguvu sana ndani ya hicho kilichoitwa mtandao. Alikuwa at the heart of everything na kuna watu walitabiri huyu atakuwa waziri mkuu au waziri muhimu sana ndani ya new government.
The obvious came. Huyu ni mtu aliyependa obscurity kwa sababu ambazo sasa hivi ziko clear kwa kila mtu.
Tangazo la kutokuwa na ubia ilikuwa ni obvious PR gaffe! Farasi hahitaji kuwaambia watu kuwa "sina mapembe"! No way, wote tunajua kuwa farasi hawana mapembe. Ukisikia nyani anasema "sina mkia!!", tayari ni mwito wa watu kuanza kumchunguza nyani.
Statement ya sina ubia, ilibeba ujumbe mzito na pengine ilitolewa kutokana na kuwa watu wengi huo ubia waliuona na kuushuhudia ukifanya kazi. Kitu ambacho wengi hatukujua; ubia huu ulikuwa ni mkubwa kuliko tulivyotarajia. RA si peke yake, ila ni symbol figure ya mtandao wenyewe. He was the Mtandao na behind him kuna more ugly faces.