Kazi kweli tunayo mpaka huyu MNYARWANDA leo anakuwa na ubavu wa kutukosoa...kazi kweli kwelo...i wonder who will be next katika hilo kundi lao la ma INTERAHAMWE!
......something is terribly wrong with this kind of attitude........mtu wa aina hii ni hatari sana.......kama kuna watu mnategemea/mnafuata ushauri wa huyu mtu.......inabidi kuwa makini.........
got it! ufisadi wa watawala wetu leo hii unatokana na ubia wao na ufisadi wa Mwalimu! straight to the point. Easy to understand.
nimesoma hiyo.. but in the light of your post ina maana hakuna mtu aliyekuwa rafiki au karibu na Mwalimu ambaye alisalimika na ubia wa ufisadi wake. WOTE wameambukizwa uongozi mbovu toka kwa Nyerere. Ndioy maamiaka 24 baadaye viongozi wote waliokuwa wanafunzi wa Mwalimu wanaonesha dalili zile zile za ubia na mwalimu.
Kazi kweli tunayo mpaka huyu MNYARWANDA leo anakuwa na ubavu wa kutukosoa...kazi kweli kwelo...i wonder who will be next katika hilo kundi lao la ma INTERAHAMWE!
Kuna sentesi moja nilisoma humu ndani ya JF. Ilifanya nicheke siku nzima. Nafikiri hapa ingelifaa sana kumjibu GT.
"-- HATA SAA MBOVU, KUNA WAKATI INASEMA UKWELI --"
GT,
Acha ukabila. Interahamwe walikuwa Wahutu. Jenerali ana asili ya Kitusi. Ni kama vile umwite Myahudi Mnazi wa Kijerumani.
ndio Ni MNYARWANDA huyu kwani uwongo?
woga wenu ni nini kukubali kama huyu ni Mtusi na ni Mnyarwanda au basi tuu ?
the same applies to Salva naye si mtanzania
iko wapi ile thread ya Salva si Mtanzania?
bwana weee NGURUWE KUZALIWA KATIKA ZIZI LA NGOMBE HAKUIMFANYI KUWA NGOMBE ATABAKI NGURUWE TUUU
its that simple
bwana weee NGURUWE KUZALIWA KATIKA ZIZI LA NGOMBE HAKUIMFANYI KUWA NGOMBE ATABAKI NGURUWE TUUU
its that simple
GT,
Umeshindwa kujadili hoja (urais wa Kikwete na possible ubia) sasa unaingia katika deliberate distortions (uraia wa Ulimwengu)
For the sake of argument, granted Ulimwengu ni Mnyarwanda, je anachosema ni kweli au si kweli?
Mbona hii sumu ya chuki ina ku consume hivyo? Unashindwa hata kuona the big picture yaubia wa urais wa Kikwete na kubweteka kwenye petty nitty gritties za uraia wa Ulimwengu? Tumekupa uwanja kama kuna issue inayoweza directly ku compromise integrity ya masuala aliyosema Ulimwengu iseme hapa, lakini usije blatantly tu una dismiss kila kitu eti kwa sababu Ulimwengu "ni Mnyarwanda". Unajionyesha tu kwamba huna argument zaidi ya hiyo unayofikiri kuwa ni trump card wakati watu tunaiona yokel.
bwana weee NGURUWE KUZALIWA KATIKA ZIZI LA NGOMBE HAKUIMFANYI KUWA NGOMBE ATABAKI NGURUWE TUUU
its that simple
Bila shaka unafanya hivi ili kutumukia ujira wako, maana usipofanya hivyo utaulizwa kwamba unafanya nini siku hizi JF hadi waajiri wako wanaanikwa hadharani kiasi hicho.
na mbaya zaidi unaweza kupoteza ajira; payroll ya ufisadi ina raha yake ati.
Wakati tunaelekea kwenye uchaguzi wa 2005 ilikuwa si siri kuwa RA ni mtu mwenye nguvu sana ndani ya hicho kilichoitwa mtandao. Alikuwa at the heart of everything na kuna watu walitabiri huyu atakuwa waziri mkuu au waziri muhimu sana ndani ya new government.
The obvious came. Huyu ni mtu aliyependa obscurity kwa sababu ambazo sasa hivi ziko clear kwa kila mtu.
Tangazo la kutokuwa na ubia ilikuwa ni obvious PR gaffe! Farasi hahitaji kuwaambia watu kuwa "sina mapembe"! No way, wote tunajua kuwa farasi hawana mapembe. Ukisikia nyani anasema "sina mkia!!", tayari ni mwito wa watu kuanza kumchunguza nyani.
Statement ya sina ubia, ilibeba ujumbe mzito na pengine ilitolewa kutokana na kuwa watu wengi huo ubia waliuona na kuushuhudia ukifanya kazi. Kitu ambacho wengi hatukujua; ubia huu ulikuwa ni mkubwa kuliko tulivyotarajia. RA si peke yake, ila ni symbol figure ya mtandao wenyewe. He was the Mtandao na behind him kuna more ugly faces.