Ikulu ya Dodoma? Je, watu wa Dodoma wana maji safi ya kunywa?

Utasumbuka na makundi ya wapumbavu bure,hawana hoja,ila ni chuki tu.tatizo sio ikulu,tatizo ni yule aliyeijenga,
 
Hivi ikulu Ni lazima iwe kubwa Kama behewa namna hiyo?
 
Ikulu imezuaiaje maji ya kunywa kwa wana Dodoma ,si bajeti imepita?
 
Kiukwel maji Dodoma yapo saf na yakutosha mabombani! Kweny serikali wamejitahid ingawa waendelee na expansion ya miundo mbinu ya maji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…