joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Kenya's State House seeks charcoal supplier amid logging ban
The irony is compounded by an existing ban on logging and drive towards clean energy for cooking.
Imebainika kwamba, ikulu ya Kenya hutumia mkaa na kuni kupikia chakula cha rais na wageni wanaotembelea ikulu, wakiwemo rais wa nchi mbalimbali wanaotembelea ikulu hiyo.
Hii inakwenda kinyume kabisa na jitihada za serikali ya Kenya kupunguza matumizi ya mkaa ili kulinda mazingira, hii inaifanya Kenya kuwa ni nchi pekee hapa duniani kwa ikulu ya nchi kutumia makaa na kuni kupikia rais na wageni wa ikulu