Ikulu ya Kenya yatumia mkaa kupikia chakula cha rais na wageni wa kitaifa.

Ikulu ya Kenya yatumia mkaa kupikia chakula cha rais na wageni wa kitaifa.

Hivi wewe unamatatizo gani?, wewe unaabudu wazungu kuliko hats Mungu, kweli " Kenya not yet Uhuru ". Tafadhali jenga hoja yenye kujitegemea acha kutumia wazungu kama kigezo cha maendeleo, jinga kabisa ninyi.

Ukweli ni kwamba, matumizi ya kuni au mkaa kama" source of Energy" ni ukale "Primitivity". Mkaa unaouzwa Supermarket sio mkaa unaotokana na miti, unatokana na kugeuza uchafu kuwa mkaa.

Kiukweli hata huo mkaa unaouzwa huko Super market, sio kwa ajili ya daily regular uses, hao wabubuzi ni kwa ajili ya mambo na siku maalumu, ni ajabu na aibu kwa Ikulu ya nchi kutangaza Tender ya mkaa kwa ajili ya matumizi yake.
IMG_20190701_121701.jpeg
 
Joto la jiwe ni mjinga sana...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]naoan anapigaa katika uzi wake
Hahaaa.......You need to get out of vichochoroni and get some exposure my friend.
Wakenya kwa kawaida wanapenda Nyama choma na mvinyo wakati wa sherehe.
Tunavyo mjua Uhuru Kenyatta pia yeye anapenda sherehe za aina hii
Kule ulaya nyama choma hujulikana kama 'barbeque'' wao pia hutumia makaa kuiandaa.
huyu hapa ni obama akiandalia wageni wake berbeque pale whitehouse


View attachment 1151072
View attachment 1151077
 
Bwahahaaaaaa...nyama choma lazima wakenya tutumie makaa...jiko liko standby...utaumia sana...

Kisha unasema etii kulinda mazingira...we ushaenda chato kw magu ukaona km ywatumia jiko la aina gani kwanza
Acheni ushamba ninyi wakenya, onyesha kwa ushahidi kwamba Ikulu yoyote inatumia mkaa, nani aliyekuambia hilo jiko hapo analotumia Obama kwa kuchoma nyama linatumia mkaa?. Ninyi ni washamba sana, badala ya kujenga hoja ya kujitegemea, lazima mtaje wazungu au USA ili kuonyesha uhalali wa mapungufu yenu, kweli Kenya ninyi ni vibaraka wa wazungu. Hakuna ikulu yoyote hapa duniani inayotumia mkaa, hata hilo jiko analotumia Obama, ninauhakika linatumia gesi.
 
Kwani mlitaka wachemshe maharagwe na githeri kwa kutumia gas!!!
 
Chakula cha kwenye kuni na mkaa ni kitamu vibayaaa
 

Imebainika kwamba, ikulu ya Kenya hutumia mkaa na kuni kupikia chakula cha rais na wageni wanaotembelea ikulu, wakiwemo rais wa nchi mbalimbali wanaotembelea ikulu hiyo.

Hii inakwenda kinyume kabisa na jitihada za serikali ya Kenya kupunguza matumizi ya mkaa ili kulinda mazingira, hii inaifanya Kenya kuwa ni nchi pekee hapa duniani kwa ikulu ya nchi kutumia makaa na kuni kupikia rais na wageni wa ikulu


Mimi nilidhani kwa kupikia mkaa chakula hakiivi !!!??🤣🤣, watu wanapikia mavi makavu ya ngo'mbe ,!!
 
Taja ikulu yoyote hapa duniani inayotumia mkaa, unadhani dunia hii inaendeshwa kienyeji?, kwasababu wewe upishi wako umejifundisha kutumia mkaa unadhani hiyo ni kawaida?. Tunapozungumzia "state house" ni vitu tofauti na mapishi yako ya huko vichochoroni, hata hotel za kimataifa hazitumii mkaa, vipi unadhani ni kawaida kwa state house kutumia mkaa, hasa ukizingatia nchi kama ya Kenya inayopambana kulinda misitu yake?
unajua wanaroast vutu, they may also BBQ kwa social events
 
Huu sio mkaa wa kuni acha ushamba jamani huu ni lump charcoal unatengenezwa na wood dust na materials nyingine ambazo ni environmental friendly.
Wewe ndio unaongea kama mshamba kutoka mwisho wa dunia kule Mtwara ama Lindi.Bado huo mkaa una miti ,mawe ya Limestone,madini ya Borax na kemikali zinatumika.Hizi ingredients zote zinavuruga mazingira kuliko mkaa wetu wa kawaida.Tena ongeza stima yote inayotumika kutengeneza hizi maka utaona net effect ni mbaya zaidi kuliko mkaa wetu wa miti pekee.
 
Back
Top Bottom