Hivi wewe unamatatizo gani?, wewe unaabudu wazungu kuliko hats Mungu, kweli " Kenya not yet Uhuru ". Tafadhali jenga hoja yenye kujitegemea acha kutumia wazungu kama kigezo cha maendeleo, jinga kabisa ninyi.
Ukweli ni kwamba, matumizi ya kuni au mkaa kama" source of Energy" ni ukale "Primitivity". Mkaa unaouzwa Supermarket sio mkaa unaotokana na miti, unatokana na kugeuza uchafu kuwa mkaa.
Kiukweli hata huo mkaa unaouzwa huko Super market, sio kwa ajili ya daily regular uses, hao wabubuzi ni kwa ajili ya mambo na siku maalumu, ni ajabu na aibu kwa Ikulu ya nchi kutangaza Tender ya mkaa kwa ajili ya matumizi yake.