Ikulu ya Kenya yatumia mkaa kupikia chakula cha rais na wageni wa kitaifa.

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
26,117
Reaction score
46,617

Imebainika kwamba, ikulu ya Kenya hutumia mkaa na kuni kupikia chakula cha rais na wageni wanaotembelea ikulu, wakiwemo rais wa nchi mbalimbali wanaotembelea ikulu hiyo.

Hii inakwenda kinyume kabisa na jitihada za serikali ya Kenya kupunguza matumizi ya mkaa ili kulinda mazingira, hii inaifanya Kenya kuwa ni nchi pekee hapa duniani kwa ikulu ya nchi kutumia makaa na kuni kupikia rais na wageni wa ikulu
 

Jamaa si nasikia juzi alipokua Chatoz aliomba kupatiwa gesi, labda itawasaidia kuacha kutumia kuni....
 
hogwash!
 
Sa githeri ya moto wa mkaa huoni kuwa inatoka bomba sana
Hahahaha, hawa watu ni shida, chakula hawana, hata Energy ya kupikia pia ni shida, sasa tukiwapa mahindi kwa ajili ya ugali na Githeri watadai tuwape na gesi ya kupikia.
 


The advertisement of the said tender is simple and straight forward, hayo maneno mengine umeongeza chumvi kuwa furahisha mabongolala wenzako na kujifurahisha mwenyewe.
 
Kenya hawali Wali, ni mwendo wa ugali na "Githeri".
Hata huku ulaya tunatumia makaa kupika nyama zetu mnafiki wewe. Kwanza tunawaalika waTzed wenzako (Haya na Wasukuma wapo huku ) wanakuja kula ugali ,githeri na nyama zetu sana sana.
 
Hata huku ulaya tunatumia makaa kupika nyama zetu mnafiki wewe. Kwanza tunawaalika waTzed wenzako (Haya na Wasukuma wapo huku ) wanakuja kula ugali ,githeri na nyama zetu sana sana.
Hahahaha, wewe fala sana, kwasababu ulaya wanapikia mkaa basi wewe kwako unadhani ni jambo la kawaida. Ninyi wakenya ni hovyo sana, kila mkifanya kosa mnatumia Ulaya kujiliwaza, ndio sababu wanaume wengi wa Kenya wanaolewa huko Ulaya na wanadhani kuolewa Ulaya ni jambo zuri.
 

kama sio mpishi utajua.kuna vyakula vyengine kama kuchoma nyama,kuoka,mishikaki.
mbona sio habari naona una kuza tu jambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…