Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,095
- 4,632
Sioni sababu yoyote ya Polisi kuzuia hayo màndamano. Kamanda wa Polisi Temeke awaruhusu hawa vijana kufanya hayo maandamano. Hili ni swala ambalo ingawa serikalini wamemaliza mjadala,lakini wananchi wengine bado wanalijadili.
Hili swala la maandamano halikatazwi Kikatiba siyo sawa kwa Polisi kusema kwamba maandamano yatawazuia watu kufanya kazi.
Watu wengi wameongea maneno kuupinga huu mkataba wa DP World. Polisi ikiwateka hawa watu itakuwa imewatukana watu wengi.
Ushahidi unaonyesha kwamba Polisi wanaongea maneno matamu lakini wanatesa sana watu wengi. Kama hapa wanasema kwa nini wanaharakati wasitumie Posta kupeleka ujumbe wao.
Wapokee vijana Ikulu,pokea ujumbe wao,wape soda vijana,basi,kuna tatizo gani.
I strongly object watu kubanduliwa kucha,kung'olewa meno,ati kwa sababu walikuwa wameupinga huu mkataba tata. I am fiercely opposed yo that This is a holy country. I strongly advice the Police to cease and desist what they want to do on Monday. Wayalinde maandamano.
Tusione matatizo mahali ambapo hakuna matatizo.