Uchaguzi 2020 Ikulu ya Marekani: Tutapitia tuhuma na kuwawajibisha wanaohusika na ukiukwaji wa Haki za Binadamu Tanzania

Wameshindwa Iran wamehamia kwetu.

Walishindwa Syria.

Watashindwa hata huku hili ni taifa la Mungu.

Responsibility yenyewe eti ya kuzuia watu kwenda kwao!! Kila mtu akae kwake.
Mungu au mungu?
Maana kuna mwenzako bungeni alimuita mheshimiwa Yesu baadae Mungu wa wote kampa adhabu kali sana ya kukosa ubunge. Kaachwa apambane na hali yake wakati wenzake wamesaidiwa kuibiwa kura.
 
Ukitaka kujua misukule ya CCM lugha hizi, kwa maana mnaona wenye hatimiliki ya nchi hii ni CCM na nyie misukule yao wengine wahame nchi. Pumbavu wa kiwango cha lami
Mkuu tutawatambuaje kama wananchi wakati kutwa mko busy kuichongea nchi kwa mataifa makubwa na taasisi za kimataifa. Mara muiombee vikwazo, mara inyimwe misaada na mikopo ya maendeleo ila kuna mnaoenda mbali mnatamani tushambuliwe kwa minajili ya kuiondoa madarakani serikali tuliyoiweka madarakani kidemokrasia ya wengi wape kwenye box la kura?
Hamuoni tuna sababu ya kutilia shaka uraia wenu?
 
Zaidi watakachofanya ni kuwanyima visa tu za huko ....watu wanaendelea kula maisha
 
Kwanza Ikulu ya Marekani iwawajibishe wale ambao wamehusika na marehemu kupiga kura katika uchaguzi wao
 
Hawa watu hata si issue ya uraia ni njaa tupu hadi kusaliti uraia wao
 
Wameshindwa Iran wamehamia kwetu.

Walishindwa Syria.

Watashindwa hata huku hili ni taifa la Mungu.

Responsibility yenyewe eti ya kuzuia watu kwenda kwao!! Kila mtu akae kwake.
Kwani mataifa mengine siyo ya Mungu. Idiot wewe
 
Kaombe uraia Marekani hujalazimishwa kuweka makalio Tanzania

Be free Nenda US ya nini ujitese umewekwa gundi?
Wewe ni juha. Afrika ni ya kwako pekee yako? Tanzania ni ya kwako pekee!?
Hivi kwa nini kuna Watanzania mnaona hii nchi ni ya kwenu tu na nyie tu ndio wenye haki na Tanzania!?
 
Wameshindwa Iran wamehamia kwetu.

Walishindwa Syria.

Watashindwa hata huku hili ni taifa la Mungu.

Responsibility yenyewe eti ya kuzuia watu kwenda kwao!! Kila mtu akae kwake.
Kwenu mna nini hasa cha kujilinganisha na hizo nchi!?
 
Washughulikie kwanza madai ya Trump kuibiwa kura.
 
Muwe mnakubaliana na maoni ya watu walio wengi,
Chadema mnaona raha sana kuzungumzia habari zenye kuwapa faraja tu lakini hakuna kitakachoendelea.

Mmekua watu wa kujifariji kwa yale yasiyowezekana,
Wananchi wamechagua kwanini msiwaamini walio wengi?

13.4% zinawatosha maana ndo waliokuchagueni,
Uchaguzi haurudiwi mpaka 2025, sasa hivi tufurahishe genge hata nyie mnaelewa hilo.

Kwa sera za Chadema wengi walijua matokeo yatakua magumu lakini kwa kua mnaamini vingine hamkuelewa kabisa, jukwaani tulizungumza mapema mkatujibu "ni yeye" nasi twasema ni yeye.
 
Usiifananishe Tanzania na Zimbabwe. Tanzania. Tanzania ni multi alignment state wakifunga Magharibi wanafunga tunaendelea na Mashariki.

Sent from my Infinix X655 using JamiiForums mobile app
Dunia sio simple kiasi hicho. Tanzania na Zimbabwe hawapishani hata kidogo kuhusu alignment yao ilivyokuwa kabla waamerika hawaja mpiga pin brother Robert.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…