Uchaguzi 2020 Ikulu ya Marekani: Tutapitia tuhuma na kuwawajibisha wanaohusika na ukiukwaji wa Haki za Binadamu Tanzania

Endeleeni kudanganyana hivyohivyo kesho Magufuli ana apishwa moto uendelee kuwaka, unaleta habari za ikulu ya marekani wakati hata rais wao analia kaibiwa kura anajitangaza mshindi kabla ya tume kama maalim seif.
 
Wakati wewe unaumiza vidole vyako kubishana hapa, wenzako wanakwenda huko huko Marekani kuomba hela

Sasa wewe endelea kuaminishwa Hiko unachokiamini

Bila wao kufaidika na chochote kwetu?
They are so nice [emoji28]
 
Trump kaanza kusema kaibiwa kura na kajitangaza mshindi, hivi huo wizi wanaofanya kila wakati wa uchaguzi ni nani anawabwekea hao mabeberu wa dunia
Watuache Tanzania yetu, hakuna uchaguzi duniani usiokuwa na irregularities
 
Magu ninavyomjua, wakiweka vikwazo naye atawawekea vikwazo, jino kwa jino
 
Waanzie
Waanze kwao kwanza. Donald T anadai ameibiwa kura hivyo anakwenda mahakamani
 
Unamnyima visa Magu ya kwenda US unaita kikwazo.....
wapi wamesema watamnyima visa?? vikwazo ni package kuzuiwa viongozi wa serikali ni sehemu ndogo sana vikwazo vya kiuchumi ni jambo lingine tuwache ushabiki tu na ukitaka kujuwa hilo yule Balozi kapindua sheria za ugaidi kutoka hakuna dhamana mpaka wamepewa dhamana, unadhani kama sio balozi wa nchi kubwa kusema waachie hao haraka unadhani wangetoka. swali hilo aulizwe Mambosasa umewakamata shutuma za ugaidi na ugaidi hakuna dhamana kisheria sasa hao wamepewa dhamana kwa sheria zipi?
 
Waanzie

Waanze kwao kwanza. Donald T anadai ameibiwa kura hivyo anakwenda mahakamani
kwa akili yako tatizo liko wapi hapo. huo ndio utaratibu mzuri binadam aliyestaarabika anatakiwa kujiwekea. Sio kama nyinyi mnaishi maisha ya hovyo kuliko hata mkoloni. Huu utaratibu wenu sidhani hata pori la manyani linaweza kujiwekea
 
Endeleeni kudanganyana hivyohivyo kesho Magufuli ana apishwa moto uendelee kuwaka, unaleta habari za ikulu ya marekani wakati hata rais wao analia kaibiwa kura anajitangaza mshindi kabla ya tume kama maalim seif.

Kama hivi?
 
Exactly, waanze kwanza kuchunguza wizi wa kura kule kwao ndio waje huku. Tanzania na China kuna wataalamu wazuri wa investigation wakitaka tutawapa
 
Kaombe uraia Marekani hujalazimishwa kuweka makalio Tanzania

Be free Nenda US ya nini ujitese umewekwa gundi?
Cha msingi wakati unaporoja ukumbuke Tanzania ni mali ya watanzania wote si mali ya chama au mtu fulani muwe na kiasi cha maneno.
 
Msisahau kupitia na tuhuma zahuko nyumbani kwenu.
 
Wamezoea kubisha kila kitu hata ukiwaambia wameshinda bado watabisha tu.
 
Tunasubiri tamko rasmi la Ubalozi wa Marekabi juu ya election fraud inayoendelea huko Marekani, Donald Trump anakataa matokeo kwa sababu ya wizi wa kurs🙂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…