kukumweupe
JF-Expert Member
- Apr 18, 2020
- 439
- 599
Rais Donald Trump ameatangaza dawa maarufu ya kutibu Ebola remdevisir kutibu corona na itaanza kusambazwa katika hospital zote nchini humo kuanzia jumatatu
Aidha taasisi ya vyakula na dawa imesema kuwa dawa hii imeonesha maajabu M akubwa ya kutibu corona nchini humo na kulishauri shirika la WHO kuuidhinisha dawa hii kuwa dawa ya kutibu corona duniani
Dawa ya remdesivir pia ilitibu him a ya MERS ilitokea katika nchi za Ghuba na hata homa hatari ya MERS -1 kwa kiwango flani.
Hii itakuwa ushindi mkubwa dhidi ya corona duniani na kuanza kufungua uchumi wa dunia majimbo mengi nchini USA yanaanza kupunguza amri za kukaa ndani
Chanzo BBC& aljazeera
Sent using Jamii Forums mobile app